Dr wa Kaliua
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 1,634
- 3,833
Habari JF,
Kuna mkopo nimechukua bank fulani hapa nchini, marejesho yake ni kwa wiki, muda niliopewa ni miezi 18.
Je, nitumie njia gani kutunza kumbukumhu ili ukifika muda wa kumaliza mkopo kusiwe na mambo mengi ukizingatia haya masuala ya makato n.k.
Naomba ushauri wenu ndugu zangu.