Njia zipo nyingi..
Wajanja huwa wanaoneshwa vyumba na madalali. Na wanapanga ila dalali hapati hata mia.
Mbinu wanayotumia ni hii
Kama wewe X unatafuta chumba inabidi usaidiwe na rafiki yako jina Y.
Unampa Y sifa za chumba unachotaka... Y ndie anazurula na madalali kutazama vyumba.. anakupigia picha ama video za kila chumba atakachoenda. Anajifanya vyote hajavipenda mbele ya dalali.
Baadae Y anakurudia X kukupa taarifa za vyumba vizuri vilipo. Hapo dalali hayupo.
Baadae unaenda wewe X mwenyewe peke yako kwenye nyumba uliyoipenda unamwona mwenye nyumba unapanga wewe bila dalali kuhusika.
Dalali hawezi kukugasi maana hakujui na hajawai kukuona yeye anamjua Y