Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣babu mbna una maneno makali hvyoWe kachukue chumba hapo migo mikumi.
Miezi 6× 100000.
Huna hela kauze maembe.
Shida wenyenyumba wengine hawatoi nyumba bila ya dalali waliempa kazi kuwepoNjia zipo nyingi..
Wajanja huwa wanaoneshwa vyumba na madalali. Na wanapanga ila dalali hapati hata mia.
Mbinu wanayotumia ni hii
Kama wewe X unatafuta chumba inabidi usaidiwe na rafiki yako jina Y.
Unampa Y sifa za chumba unachotaka... Y ndie anazurula na madalali kutazama vyumba.. anakupigia picha ama video za kila chumba atakachoenda. Anajifanya vyote hajavipenda mbele ya dalali.
Baadae Y anakurudia X kukupa taarifa za vyumba vizuri vilipo. Hapo dalali hayupo.
Baadae unaenda wewe X mwenyewe peke yako kwenye nyumba uliyoipenda unamwona mwenye nyumba unapanga wewe bila dalali kuhusika.
Dalali hawezi kukugasi maana hakujui na hajawai kukuona yeye anamjua Y