Nitumie PM ya wazo zuri la biashara! Mtaji Milioni 15 nitaweka pesa

Ndo kama hivo...idea kama nzur mi ntaweka hyo pesa,..tutashirikiana kuifanya wote,..wew utakula 35% mim 65%.

Uzi tayar...

Staki ujuaji kwenye comments.


Sent using Jamii Forums mobile app
Iko haja ya kuweko mikataba ya kisheria kwenye haya mambo nakumbuka kuna kijana mmoja alikuwa DJ wa muziki akakutana na mzungu akamwbia kwa nini usianzishe radio akasema Sijui pa kuanzia wa kuishia .Mzungu akamweleza Kila kitu hadi vyombo apate wapi nk akasema hela mimi Sina nimekupa wazo basi kijana akaenda kwa tajiri mmoja kumweleza hilo wazo akiomba asaidiwe hela ila hakueleza kwa undani.Tajiri akamwambia kaandike vizuri Kila kitu nisome niangalie nakusaidiaje.Akaandika vizuri mno Kila kitu kwa undani.Alikaa miezi minne Kila akiulizia tajiri anasema yuko busy hajapitia.Mwezi wa tano akakuta redio iko hewani tajiri kaanzisha ya kwake na akakata mawasiliano na Yule kijana Moja kwa Moja.Labda utusaidie kwa mtoa wazo ulinzi wa idea yake kisheria umekaaje? Yasi mkute ya wa radio
 
Mkuu una mtaji wote huo ila huna idea ya biashara, naomba badilisha jina hilo
Maana hilo jina tuu ungekua na idea nyingi mno (joking)

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wako wenye pesa nyingi kuliko huyo na hawajui wazifanyie .Na nitakutajia mfano mzuri ni mabenki Wana matrilioni ya pesa hawajui wafanyie nini wanasubiri wenye Mawazo yao ya kueleweka wawape pesa ambazo wao wanazo ila hawajui wafanyie nini.Wako wengi tu wenye pesa wasiojua cha kufanyia ulaya na Marekani kuna watu wanaitwa venture capitalists ambao ni watu wenye pesa ila hawajui wafanyie nini Hawa kununua business ideas kama mleta mada Wewe unatoa wazo yeye anatoa pesa mna kuwa na share au wengine huamua kununua hilo wazo Moja kwa Moja anakulipa chako mnaachana.Ndio maana kule kuna watu wengine huishi tu kwa kuuza business ideas hela hana ila kumkichwa kibiashara yuko vizuri.Ila kuweko mikataba ya kisheria ili usimpe mtu wazo halafu akwambie Sijui halifai halafu kesho unamkuta kaanzisha biashara ya wazo lako atakulipa hadi akome.
 
Mkuu una mtaji wote huo ila huna idea ya biashara, naomba badilisha jina hilo
Maana hilo jina tuu ungekua na idea nyingi mno (joking)

Sent using Jamii Forums mobile app
Usijifungie kwenye box mjomba...nishahangaika sanaa na ma idea,na mengne nimeshayafanya ila yanabuma,..mim ni injinia,mpaka nafkia kipind nasema pengne sabab mi ni mwana science ndomana nashindwa jenga hoja za mirad vzur kibiashara...na mirad ya kiscience kwa hela hii ni ndogo ndomana nataka ideas from ordinary pipo kabsa,no complications,...kama mama ntilie anaish na kusomesha na kula stareh kwa mtaj wa elf50,..sis wenye mitaj mikubwa kias tunafeli wap?hapo ndo utata unapoanzia,pengne nipate mawazo mapya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nilitania tuu, hata Mimi nipo fani hiyo hiyo yako,
Kuna siku kibarua wangu mmoja alisema kama akipata 2m basi yeye ataacha kazi na hatokuja tena kazini
Nilibaki kuduwaa tuu, moyoni nasema mbona nishawahi kupata 2m na sijawahi kuwaza kuacha kazi kwa kipindi kile,
Hivyo naelewa unachosema nami napitia yanayokusibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
All in all, usiweke pesa yako kwenye kilimo. Utaambulia manyoya!
Huko ndo stak kuskia kabsa ,nshafanya kilichotokea,tumeweka 11m mwisho wa siku tukapata 6m,hasara kubwa,hakuna cha vitunguu,wala matikit maj wala nin.kilimo kinahtaj science na uzoef uliotukuka,..sasa hiv nataka biashara ya papo kwa papo,yaan nipate sehem ya kusuply somethin,nalipwa nasepa baaas.kama ni malighafi na supply mahali nalipwa changu nasepa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama uko DSM fanya biashara ya kuku wakienyeji, kata leseni kisha nenda mikoani katafute kuku wakienyeji wanauza kuku mmoja elfu 5/7 jumlisha usafiri kwa kila kuku elfu 1, jumlisha matibabu kama ukikuta baadhi niwagonjwa kwa kila kuku mmoja elfu 1, jumlisha chakula elfu 1, kwahiyo kuku mpaka unamfikisha na mpaka unamuuza atagharimu elfu 8 mpaka 10.

Halafu nenda kawauze kuku mmoja muuze 13000, bei yachini kabisa hiyo, mpaka unamuuza kuku mmoja faida yakiwango cha chini kabisa ni 3000.ukiwa na uwezo kwa wiki kusupply kuku 400 faida yake ipo kubwa, hapo nikwakifupi zaidi lakini pia unaweza kuwauza kwa njia nyingine ambayo hapa mjini sijaona mahala popote pale(siri ya mchezo wote ipo hapa).Nimetoa kwa uchache tu lakini kuna uwezekano mkubwa zaidi wakupiga faida ya 5M kwa mwezi biashara ikiwa vizuri kwa mtaji usiozidi 10M.
 
Well,good idea,nilishawai ifanya hii kitu miaka mi3 iliyopita,tho mim nilikua nikishaagiza nawaprocess nauza in packages,kwenye supermarkets na na watu wengne,kilichotokea ni kwamba,hela kurud ilikua inasua sua saana,yaan watauzika ila ita takes loong time yan ,halaf mzunguko wa kutoka kuagiza,kuprocess kusambaza huko maeneo ulikua mkubwa unakula muda na hela theen mwisho wa siku sokon kuna lega lega,yaan ilikua ili nipate faida,niuze kuanzia elf 16,17,18 na kuendelea,mwisho wa siku biashara ika lega lega,nikaacha,labda nifanye hvo kama unavosema kwamba niishie kwenye kuwaagiza na kuuza,ingawa pia soko linalegalega sana,kuku wako wakutosha,na pia waswahili weng wanakula broila.chips yai kuku etc,ingekua wa kienyej analiwa kama broila aisee ingekua balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well,good idea,nilishawai ifanya hii kitu miaka mi3 iliyopita,tho mim nilikua nikishaagiza nawaprocess nauza in packages,kwenye supermarkets na na watu wengne,kilichotokea ni kwamba,hela kurud ilikua inasua sua saana,yaan watauzika ila ita takes loong time yan ,halaf mzunguko wa kutoka kuagiza,kuprocess kusambaza huko maeneo ulikua mkubwa unakula muda na hela theen mwisho wa siku sokon kuna lega lega,yaan ilikua ili nipate faida,niuze kuanzia elf 16,17,18 na kuendelea,mwisho wa siku biashara ika lega lega,nikaacha,labda nifanye hvo kama unavosema kwamba niishie kwenye kuwaagiza na kuuza,ingawa pia soko linalegalega sana,kuku wako wakutosha,na pia waswahili weng wanakula broila.chips yai kuku etc,ingekua wa kienyej analiwa kama broila aisee ingekua balaa



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiri ulitaka kutageti soko lawenye kipato ndio maana biashara ilisuasua, lakini jambo kubwa kwenye biashara nikuangalia zaidi watu wa maisha yakati na hali ya chini.Ukienda Nzega(Tabora) sehemu moja inaitwa NATA pale kuku mmoja wakienyeji siku ya mnada wanauzwa elfu 4,5.Ambae mpaka kumsafirisha na kumfikisha DSM haizidi elfu 7/8.Wakati huohuo broirel wanauzwa elfu 6/7 hapa mjini kwahiyo ukiangalia bei nitofauti ya elfu moja/mbili na broirel.Wakanga chips wanapata faida ya shilingi elfu 5/7 kwa kila broirel mmoja lakini pia ukiangalia namtu binafsi unaweza pata faida hiyo hiyo ,tofauti yako na wao nikwamba wewe utatumia muda mwingi kutengeneza soko,lakini pia unaweza pata faida kubwa zaidi baadae.
 
Wana jf hawapend mada kama hiz,...so response ni kama hakuna vile...so bora tuendeleage na udaku tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo na wewe haujajiweka wazi
Ni mtu wa aina gani unajua hiz fursa zinategemea mtu na mtu
Malengo yako mchakato endelevu au kwa kipindi kifupi


Mwisho kabisa hakuna biashara ya kudumu, biashara inabadilika jinsi muda unavyozid kwenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikweli...nashkuru kwa michanganuo,cha muhim ni confidence na uthubutu,maana kwa sasa nmekua mwoga sana na kufanya mirad,nilikua nakurupukaga naweka hela mahali hzirud
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mim ni mtu ninaehitaj biashara ya waz,yaan sio biashara ya uvumilivu,najua uvumiliv ni lazma lakin stak kuvumilia sana,nataka hela ambayo sio ya mizunguko,yaan mfano wa biashara hyo uwe kama,labda umepata tenda u supply nyanya kwenye kiwanda cha kutengeneza tomato,yaan we ni kukusanya nyanya na kupeleka unalipwa chako,yaan biashara za hvo yan,za direct

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…