Nitumie PM ya wazo zuri la biashara! Mtaji Milioni 15 nitaweka pesa

Nitumie PM ya wazo zuri la biashara! Mtaji Milioni 15 nitaweka pesa

Mim ni mtu ninaehitaj biashara ya waz,yaan sio biashara ya uvumilivu,najua uvumiliv ni lazma lakin stak kuvumilia sana,nataka hela ambayo sio ya mizunguko,yaan mfano wa biashara hyo uwe kama,labda umepata tenda u supply nyanya kwenye kiwanda cha kutengeneza tomato,yaan we ni kukusanya nyanya na kupeleka unalipwa chako,yaan biashara za hvo yan,za direct

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani we ni tender based person Kama Mimi nilivo
 
Back
Top Bottom