Nitumie PM ya wazo zuri la biashara! Mtaji Milioni 15 nitaweka pesa

Nitumie PM ya wazo zuri la biashara! Mtaji Milioni 15 nitaweka pesa

Mim ni mtu ninaehitaj biashara ya waz,yaan sio biashara ya uvumilivu,najua uvumiliv ni lazma lakin stak kuvumilia sana,nataka hela ambayo sio ya mizunguko,yaan mfano wa biashara hyo uwe kama,labda umepata tenda u supply nyanya kwenye kiwanda cha kutengeneza tomato,yaan we ni kukusanya nyanya na kupeleka unalipwa chako,yaan biashara za hvo yan,za direct

Sent using Jamii Forums mobile app
Michakato ya kuingia shamba usafiri unaweza kupambana nazo(kama una fikiria kutuma watu, acha mara moja unaenda kuzika pesa mkuu)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kutokana na mzunguko wa hela kuwa Mdogo nadhani ungefanya biashara ambayo unakua na sehemu ya kuuzia bidhaa zako wateja wakufate wewe kuliko unasambaza mzigo inachukua muda kupata hela yako hiyo nayo ni moja ya changamoto ambayo unatakiwa uiangalie...wanaolipa kwa wakati kipindi hiki ni upande wa madini au wanaofanya shughuli za usafirishaji watu au mizigo...
 
Huko ndo stak kuskia kabsa ,nshafanya kilichotokea,tumeweka 11m mwisho wa siku tukapata 6m,hasara kubwa,hakuna cha vitunguu,wala matikit maj wala nin.kilimo kinahtaj science na uzoef uliotukuka,..sasa hiv nataka biashara ya papo kwa papo,yaan nipate sehem ya kusuply somethin,nalipwa nasepa baaas.kama ni malighafi na supply mahali nalipwa changu nasepa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, tafuta sehemu yenye bar na vigrosari vya kutosha, fungua duka kubwaaaa la pombe kali na vinywaji vya nonreturnable bottles like Heineken na energy drinks, omba oda ya kusuply.

Nje ya duka, au pembeni, weka resting room yenye meza na viti kama 7 hiviii na TV na ka mziki kwa mbaliii.

Unakua na vijana wawili, mmoja dukani mwingine supplier kwenye vibaaa

Mtaji mkubwa uweke kwenye K Vant hautajuta kuifahamu Jamiiforums, hautajuta kunifahamu Robot LA Matope
 
Inatokea kwamba napata hlo chaka shamba,mambo ya usafir kila kitu,naingia front mwenyew,najua baada ya mda ntafkia hatua napiga sim tuu mzigo unapakiwa,..mambo ya kufanya biashara unamtuma mtu niliacha zaman sabab nishapigwa sana
Michakato ya kuingia shamba usafiri unaweza kupambana nazo(kama una fikiria kutuma watu, acha mara moja unaenda kuzika pesa mkuu)

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa tuu
hello..samahan ila naona kuna swal hapo juu hujalitolea majibu ipasavyo..vip kuhusu masuala ya kisheria utakua tayar kwenda na mwenye hio idea kisherria kuandikishana ili ikitokea vingine kwamba umeshindwa kutekeleza ahadi yako basi mhusika ataenda mbele zaidi kisheria kukushtaki kwa kuvunja makubaliano?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kutokana na mzunguko wa hela kuwa Mdogo nadhani ungefanya biashara ambayo unakua na sehemu ya kuuzia bidhaa zako wateja wakufate wewe kuliko unasambaza mzigo inachukua muda kupata hela yako hiyo nayo ni moja ya changamoto ambayo unatakiwa uiangalie...wanaolipa kwa wakati kipindi hiki ni upande wa madini au wanaofanya shughuli za usafirishaji watu au mizigo...
Mhh,umenifikirisha saaaana,duh..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, tafuta sehemu yenye bar na vigrosari vya kutosha, fungua duka kubwaaaa la pombe kali na vinywaji vya nonreturnable bottles like Heineken na energy drinks, omba oda ya kusuply.

Nje ya duka, au pembeni, weka resting room yenye meza na viti kama 7 hiviii na TV na ka mziki kwa mbaliii.

Unakua na vijana wawili, mmoja dukani mwingine supplier kwenye vibaaa

Mtaji mkubwa uweke kwenye K Vant hautajuta kuifahamu Jamiiforums, hautajuta kunifahamu Robot LA Matope
Uko vzur sana...nmetake note....tatzo litakua kupata hlo eneo,maana watu wanachangamkia fasta sana,..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kwamba mtaj mdogo sana huu mkuu,maana usafir. Na michakato mingne had ikae sawa tayar m4 zishakata,then mzigo wa 11m sip mdogo sana,ila ngoja nifatilie nijue maana idea nzur....
Njoo Iringa Mafinga Unanunua Miti Ambayo Iko Tayari Kupasua Mbao Ukishanunua Unapasua Mbao Mwenyewe Unauza Ni Biashara Ya Papo Kwa Hapo Haisumbui Wakenya Wamejaa Huku Watanzania Wamelala Doro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuma kwanza pesa za gharama ya wazo. No free consultancy
 
Anza hivi Napoleone
Mtaji ni million 15
Nunua kirikou
Budget weka mil 7 utapata nzur tu
Nenda kwa super dealer wa gas nunua
Mitungi ya gesi
Midogo 100
Mikubwa 40
Midogo tupu 23000 ukijaza 15800 jumla 38800 × 100=3,880,000
Mikubwa tupu 42000 ukijaza 38000 jumla 80000×40=2,400,000
Jumla mtaji gas n 6,280,000 ukijumlisha na kirikou 13,200,00
Kodi ya stock ya gas itakapokaa 50,000×6=300,000
Vibali +Kumodify body ya kirikou ges zikae ktk uzio wa machuma+mengineyo weka 500,000
Jumla mil 14,000,000 cash
Hio million moja baki nayo km balance kwa dharura
*unasupply kwenye maduka ya reja reja ya gesi
*wewe ndio dereva wewe ndio salesman
*mtungi mdogo unauzwa 17000 mkunbwa 41000 kwa wiki hukosi kusambaza 600units -400 units kwa daresalaam maana miduka n mengi sana
*kapge kazi mchanganuo huo hapo uje na ushuhuda hapa*
 
Mhh,umenifikirisha saaaana,duh..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilikua nafanya biashara ya kusambaza bidhaa kama wazo lako tena nilikua natoa bidhaa SA( Cosmetic) usumubufu ulikuepo kwenye kulipa kwa wakati ingawaje walikua wanalipa lakini walikua wanachelewesha sana baadae nikafungua Duka wao wakiwa na cash ndio wanunue hapo hela ndio nikaanza kuiona wanaokopeshwa ni wale walipaji wachache...watu wengi wana madeni Bank akiwa na mauzo anapeleka Bank na kukuacha wewe...
 
Back
Top Bottom