Basham
JF-Expert Member
- Oct 10, 2014
- 743
- 434
okay kwa hyo tano iko pembeni turudi sasa kwenye ten M. HAPO NTATOKAJE FAIDA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
okay kwa hyo tano iko pembeni turudi sasa kwenye ten M. HAPO NTATOKAJE FAIDA
Hakuna ugumu kama huuuokay kwa hyo tano iko pembeni turudi sasa kwenye ten M. HAPO NTATOKAJE FAIDA
Asantee mkuu. Samahani kwa uzoefu wako sasa ndo nmechukua mzigo wa hela hyo mie nachohitaji ni mwanga wa faida ina range mpaka ngapi
Yaani we ni tender based person Kama Mimi nilivoMim ni mtu ninaehitaj biashara ya waz,yaan sio biashara ya uvumilivu,najua uvumiliv ni lazma lakin stak kuvumilia sana,nataka hela ambayo sio ya mizunguko,yaan mfano wa biashara hyo uwe kama,labda umepata tenda u supply nyanya kwenye kiwanda cha kutengeneza tomato,yaan we ni kukusanya nyanya na kupeleka unalipwa chako,yaan biashara za hvo yan,za direct
Sent using Jamii Forums mobile app
NICHEKI .....NINA IDEA YA KUANZISHA KIWANDA CHA KUTENGENEZA MISUMARI..TUSHIRIKIANE.....0789 566 785Ndo kama hivyo...wazo kama nzuri mimi nitaweka huyo pesa...tutashirikiana kuifanya wote,..wewe utakula 35% mimi 65%.
Sent using Jamii Forums mobile app