Michakato ya kuingia shamba usafiri unaweza kupambana nazo(kama una fikiria kutuma watu, acha mara moja unaenda kuzika pesa mkuu)Mim ni mtu ninaehitaj biashara ya waz,yaan sio biashara ya uvumilivu,najua uvumiliv ni lazma lakin stak kuvumilia sana,nataka hela ambayo sio ya mizunguko,yaan mfano wa biashara hyo uwe kama,labda umepata tenda u supply nyanya kwenye kiwanda cha kutengeneza tomato,yaan we ni kukusanya nyanya na kupeleka unalipwa chako,yaan biashara za hvo yan,za direct
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, tafuta sehemu yenye bar na vigrosari vya kutosha, fungua duka kubwaaaa la pombe kali na vinywaji vya nonreturnable bottles like Heineken na energy drinks, omba oda ya kusuply.Huko ndo stak kuskia kabsa ,nshafanya kilichotokea,tumeweka 11m mwisho wa siku tukapata 6m,hasara kubwa,hakuna cha vitunguu,wala matikit maj wala nin.kilimo kinahtaj science na uzoef uliotukuka,..sasa hiv nataka biashara ya papo kwa papo,yaan nipate sehem ya kusuply somethin,nalipwa nasepa baaas.kama ni malighafi na supply mahali nalipwa changu nasepa
Sent using Jamii Forums mobile app
Michakato ya kuingia shamba usafiri unaweza kupambana nazo(kama una fikiria kutuma watu, acha mara moja unaenda kuzika pesa mkuu)
Sent using Jamii Forums mobile app
hello..samahan ila naona kuna swal hapo juu hujalitolea majibu ipasavyo..vip kuhusu masuala ya kisheria utakua tayar kwenda na mwenye hio idea kisherria kuandikishana ili ikitokea vingine kwamba umeshindwa kutekeleza ahadi yako basi mhusika ataenda mbele zaidi kisheria kukushtaki kwa kuvunja makubaliano?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhh,umenifikirisha saaaana,duh..Mkuu kutokana na mzunguko wa hela kuwa Mdogo nadhani ungefanya biashara ambayo unakua na sehemu ya kuuzia bidhaa zako wateja wakufate wewe kuliko unasambaza mzigo inachukua muda kupata hela yako hiyo nayo ni moja ya changamoto ambayo unatakiwa uiangalie...wanaolipa kwa wakati kipindi hiki ni upande wa madini au wanaofanya shughuli za usafirishaji watu au mizigo...
Uko vzur sana...nmetake note....tatzo litakua kupata hlo eneo,maana watu wanachangamkia fasta sana,..Mkuu, tafuta sehemu yenye bar na vigrosari vya kutosha, fungua duka kubwaaaa la pombe kali na vinywaji vya nonreturnable bottles like Heineken na energy drinks, omba oda ya kusuply.
Nje ya duka, au pembeni, weka resting room yenye meza na viti kama 7 hiviii na TV na ka mziki kwa mbaliii.
Unakua na vijana wawili, mmoja dukani mwingine supplier kwenye vibaaa
Mtaji mkubwa uweke kwenye K Vant hautajuta kuifahamu Jamiiforums, hautajuta kunifahamu Robot LA Matope
Njoo Iringa Mafinga Unanunua Miti Ambayo Iko Tayari Kupasua Mbao Ukishanunua Unapasua Mbao Mwenyewe Unauza Ni Biashara Ya Papo Kwa Hapo Haisumbui Wakenya Wamejaa Huku Watanzania Wamelala Doro
Ukiwa mjuaj sana utaishia hapo hapo,..diamond kabla ya kua diamond ,alishafanya show nyiiing bure,sasa wew hata salama hujatuma ushaanza taka pesa..duhTuma kwanza pesa za gharama ya wazo. No free consultancy
Nadhani angefuata ushauri wako sasa hivi angekuwa mochwari kutokana na preshaChukua huyo milion 15 weka mkeka, juve anamfunga atletico. Utapata milion 32.8 ndani ya dk 90 tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pambana mkuuu, afu uzuri Wa pombe Kali hazina expiration dateUko vzur sana...nmetake note....tatzo litakua kupata hlo eneo,maana watu wanachangamkia fasta sana,..
Sent using Jamii Forums mobile app
SeriouslyNdo kama hivyo...wazo kama nzuri mimi nitaweka huyo pesa...tutashirikiana kuifanya wote,..wewe utakula 35% mimi 65%.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh,mbona ungemponza mwenzako aiseeeπππChukua huyo milion 15 weka mkeka, juve anamfunga atletico. Utapata milion 32.8 ndani ya dk 90 tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilikua nafanya biashara ya kusambaza bidhaa kama wazo lako tena nilikua natoa bidhaa SA( Cosmetic) usumubufu ulikuepo kwenye kulipa kwa wakati ingawaje walikua wanalipa lakini walikua wanachelewesha sana baadae nikafungua Duka wao wakiwa na cash ndio wanunue hapo hela ndio nikaanza kuiona wanaokopeshwa ni wale walipaji wachache...watu wengi wana madeni Bank akiwa na mauzo anapeleka Bank na kukuacha wewe...