Nitumie PM ya wazo zuri la biashara! Mtaji Milioni 15 nitaweka pesa

Aiseee,safi mkuu..naendelea kukusanya possibles tuu,asante mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It takes guts kwa mtu kununua kuku kwa 18k kwa swala la kwamba ati ni wa kienyeji. Wateja utawapata ila sio kwa wingi na frequency kama ukiuza kuku wakisasa wa 7.5k to 9k.

Principles za uchumi lazima zizingatiwe always, the higher the price the less the demand...the lesser the price the higher the demand.

Kingine kwa kiwango cha watanzania ambao wako health concious ni kidogo sana compared na wanaojali. Na hao ni wale wenye excess income tu. So kwa biashara ya kuku wa kienyeji labda usiifanye kwa njaa iwe ziada tu otherwise itakuchosha tu maana inaenda slow sana.
 
Biashara ya aina hii utapata faida kama utakuwa na banda then uuze kwa rejareja. Vinginevyo ulivyoshauri atakula mweleka
 
Mkuu napingana na wew kwa mfano wako wa mabenki..
Japo sijui sana ila ninachojua mabenki moja ya plan zao ni kutoa mitaji kwa wajasiliamali wakubwa na wadogo kwahivyo mabenki kusubiria watu walete business plan zao ili wawapatie hela wakaendeshe biashara then warudishe pamoja na kiasi cha faida juu ni moja ya biashara na wamekaa wakawaza wakaona ni biashara inayoweza kuwaingizia pesa kiurahisi zaidi kuliko wao kwenda kukodi shamba na kuendesha kilimo lakini pia wakilenga kuisaidia jamii kwa kuwakopesha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duhhh.headache

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeona sasa mkuu,yaan ume describe the whole scenario niliyoface,kabsaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok it depends solely na wapi unaendesha biashara yako na profit margins gani unahitaji..

Mimi nilishawahi kutana na mtu mwanza..kamaliza masters SAUT na hiyo ndo biashara yake ila ni kwa mwanza tu.Yeye anachukua kuku shinyanga vijijini na kuwaleta mwanza,

Mchanganuo wake hadi kumfikisha kuku mwanza ni 8000 na anauza mmoja kuanzia 12000 na inategemea na msimu wenyewe..

Ukisema watanzania haimaanishi wa DSM.. ukienda mikoani watu ni traditional na bado hawaamini hata katika processed stuffs.. mtu hataki sembe ndo uje umlishe broiller !!!!.... angalia hata katika sehemu nyingi za starehe mikoani ni kuku yupi anapikwa na kuliwa soup zaidi..obviously ni wa kienyeji

So it solely depends na aina ya biashara na aina ya wateja wako.. kingine nachoendelea kujifunza ni kuwa "Ukiifikiria pesa kabla ya biashara then ni rahisi kufeli, Biashara si kazi kuianzisha ila kuikuza na kufanya sustainance, hii hutegemea creativity, persistence na msingi wa biashara yenyewe"

Mimi sio mfanyabiashara ila aina ya kitu nachofanya ndo kimezungukwa na wafanyabiashara...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
safi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeona sasa mkuu,yaan ume describe the whole scenario niliyoface,kabsaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
The truth is bro... utataka wazo bora la biashara na utalipata kwa hiyo bei lakini mwisho wa siku biashara inafanywa na watu kwa ajili ya watu RIGHT..

watu hawapo static na hubadilika kila leo, Hapa inakuja ishu ya vitu vingi ikiwemo COMPETITORS (WASHINDANI) wako kwa upana...
Toka siku ya kwanza unaanza biashara, jua kuna watu wana pesa kama wewe hivyo ukianzisha kitu chenye matumaini, nani ataacha kuwekeza pesa ili apate faida!!..

Nisieke mambo mengi ila issue kubwa ni WEWE.. your mindset, unapenda easy flow nd perfection katika biashara.. hicho kitu HAKIPO.. umepitia business nyingi lakini still hujajifunza katika kila FALL unayopata..
Nimekutana na watu wengi wameshindwa biashara nyingi tu huko nyuma lakini walilichukulia kama darasa.. you take it negatively mzee

Cha msingi kama una pesa... Angalia business gani uliyowahi ifanya au unafikiria kuifanya yenye manufaa.then tafuta business agency nzuri wakushauri na kukusaidia kila kitu kuanzia launching hadi sustainance.. hapa kama unataka kuwekeza kitu utachoweza kusamama nacho for the long run lakini haina guarantee kama utaweza..

Kama coca na brand nyingine kubwa na ukubwa wao huwa wanafeli.. WHO ARE YOU..







Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kwel kabsa,ndomana mim kwa sasa ninachoombea cha kwanza ni eitha nipate experienced n succesfull mentor ambaye tayar anafanya biashara flan halaf namii niingie hapo nifanye huku najifunza kwake,..

Hii itakua rahis,
.experience yangu niliyopata kwenye biashara ambazo nying zilibuma,zmenifunza kwamba,b4 anythn done,lazima nijifunze nijue in n out,sio kukurupuka,..pia,nibora kujishikiza kwa mtu ambae anafanya hyo kitu,hata kujifanya unafanya kaz kwake bila malipo or bila wew kuweka pesa ili uisome kiundan..na pia investment yoyote lazma ianze from ground,yaan ukue nayo,sio ufanye uwekezaj mkubwa wakat bado mambo meng hujajua,utakata tamaa,sabab vya ku learn ni ving b4 achievements..na kingne ni,trust shud be minimal kwa watu..

So far from pipo hum nmeona idea kama mbil ambazo ni eye/ear catching kabsaaa.some pipo r good

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni vema ukanijuza haya kabla sijafikiria kukupa idea yangu:

1. Upo mkoa gani na je, ni lazima hiyo biashara ifanyike mkoa ulipo?

2. wewe ni mfanyakazi kiasi kwamba hupati muda wa kufanya biashara? namaanisha partner utakayempata atafanya kazi kivyake au mtashirikiana pamoja kwenye biashara?

Naomba niishie hapo kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeap ni kweli mkuu.... na ndicho hicho najitahidi kufanya pia..

Kuna kitu nilijifunza katika jf na huo uzi siukumbuki fresh ila ulihusiana na Risk taking... kivipi unaweza kuchukua calculated risks..

Kingine kupata business mentors ni rahisi hasaa katika hii Era ya mitandao..saa hii inawezekana kuongea na managers au owners wa makampuni directly tu kwa twitter, linkedin au hata Jf. Kingine unaweza hudhuria functions zao kibao aidha za kulipia ama kutokulipia, hizi zote zinasaidia kuzungukwa na watu ambao wamefika unapopataka au wanahustle pia..

Ila kuwapata hawa watu yakupasa uoneshe kweli you worth their time nd uoneshe kweli una potential au unafanya kitu promising.. ni kukuza cycle yako ya watu tu maana inasaidia kufanya akili kuwa active...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi kwenye kushirikiana haitawezekana maana nafasi ndogo....lakini nina kijiwazo kama upo dar

Anzisha mgahawa wa diet foods
Sasa hivi watu wengi hasa wa maofisini wanajatibu kudhibiti uzito ikiwa ni pamoja na kufanya mazoezi...
Nyakati za mchana majority wanashindwa kupata diet dish kwa sababu wako mbali na nyumba zao. Ikibidi hata unasupply

Target market ni watu wa maofisini wanaokaa muda mwingi

Matangazo utapeleka kwenye gyms au hata kwenye radio stations zenye coverage kubwa au kupitia akaunti za watu maarufu kama millard ayo ivi

I think this can work


Out of context, naomba kujua yafuatayo
wewe ni injinia wa nini
Je umeajiriwa mahali
Upo based mkoa gani

Nina wazo lingine lakini inategemeana na majibu ya maswali hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukigusia matikiti maji unanotenesha vidonda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…