Niulize chochote juu ya tiba za Mitishamba

Hiyo tiba lishe ni ipi kuweza kuzalisha homoni hiyo ni vyakula gani Labda....

Na hiyo tiba ya mimea ya kiasili ni ipi naomba kufaham mtu aweze kua sawa
 
Shukran kwa majibu yako mkuu..

Vipimo ulivyosema alishapimwa na viko sawa.. . Ila damu Ni pungufu kidogo, nnachokuomba Ni kupata hiyo mimea Tiba .. .. .

Sababu za kiimani aliwahi kusomewa ,ikatulia lakini imeanza Tena kidogo kidogo.. Nina khofu itajirudia...tulisumbuka Sana na aliumwa mno .

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Cc baba Vladmir
 
Sawa

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Nadhani huu ndo ugonjwa unaonisumbua mwaka wa pili now. Nasikia maumivu makali sana kwenye njia ya mkojo nimetumia dawa nyingi lkn tatizo haliishi. Mara ya mwisho nimelazimisha wanipime ultra sound ndo wakagundua nina uvimbe kwenye via vya uzazi ambao umesababishwa na bacteria. So ngoja nijaribu hiyo dozi ya vitunguu saumu nione
 
Mimi sijasema vitunguu swaumu ndugu yangu,wala sijui lolote juubya vitunguu swaumu na PID.Hiyo ni comment ya mdau

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
tunajaribu kuutafta mti huu bila mafanikio yoyote, kama ungeweza kutupa more information kuhusu wapi pakuupata au kama kuna wanao uza zilizo kaushwa na kusagwa tafadhali, nitashukuru sana.
 
Ni Bora kuwa na kitambi kuliko vidonda vya tumbo
 
Mkuu dawa ya amiba sugu
Tafuta mizizi ya mlungulungu,itwangetwange vizuri na kisha ianike ikauke vizuri(anika kivulini).Baada ya kukauka vyema isage vizuri iwe katika hali ya unga laini.Tumia kijiko kimoja cha dawa hiyo katika maji moto kutwa mara mbili kwa muda wa mwezi mzima.Hakuna amiba sugu atabaki tumboni.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Mlungulungu ukoje mkuu. Ikikupendeza weka picha yake hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…