Niulize chochote juu ya tiba za Mitishamba

Niulize chochote juu ya tiba za Mitishamba

Hiyo tiba lishe ni ipi kuweza kuzalisha homoni hiyo ni vyakula gani Labda....

Na hiyo tiba ya mimea ya kiasili ni ipi naomba kufaham mtu aweze kua sawa
 
Kuna mambo kadhaa yanayoweza kusababisha hali hiyo;
# Mwendo wadamu na mapigo ya moyo vinakinzana. Fanya utaratibu wa kumpima wingi wa damu na cholestrol.Angalia pia umri na uzito kama vinaendana.Angalia pia presssure na ujazo wa damu.

#Lakini pia huwa kuna mambo ya imani,ila kikubwa shughulika kwanza ni ushauri wa mwanzo.

# Zipo dawa za tiba asili( mimea)zenye uwezo wa kuondoa kabisa tatizo hilo kama litakuwa linasababishwa na chanzo nilichokieleza hapo juu.
[emoji120][emoji120]

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Shukran kwa majibu yako mkuu..

Vipimo ulivyosema alishapimwa na viko sawa.. . Ila damu Ni pungufu kidogo, nnachokuomba Ni kupata hiyo mimea Tiba .. .. .

Sababu za kiimani aliwahi kusomewa ,ikatulia lakini imeanza Tena kidogo kidogo.. Nina khofu itajirudia...tulisumbuka Sana na aliumwa mno .

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Cc baba Vladmir

Sawa

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Bakteria wanaosababisha PID huweza kumwingia pia mwanaume kupitia njia ya kujamiana na kumsababishia dhahama kubwa. Mwanaume anaweza kutokwa na uchafu kwenye mrija wa uume na wakati mwingine maumivu makali ndani ya mrija.Mara nyingi unapokwenda kuchukua vipimo majibu huwa ni UTI, lakini kila unapotumia dozi unaweza kuhisi nafuu na baadaye tatizo huende
Nadhani huu ndo ugonjwa unaonisumbua mwaka wa pili now. Nasikia maumivu makali sana kwenye njia ya mkojo nimetumia dawa nyingi lkn tatizo haliishi. Mara ya mwisho nimelazimisha wanipime ultra sound ndo wakagundua nina uvimbe kwenye via vya uzazi ambao umesababishwa na bacteria. So ngoja nijaribu hiyo dozi ya vitunguu saumu nione
 
Mimi sijasema vitunguu swaumu ndugu yangu,wala sijui lolote juubya vitunguu swaumu na PID.Hiyo ni comment ya mdau

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Mungu ni mwema Watanzania wenzangu maana ishara ya baraka kutoka kwake (Mvua) tunaendelea kuishuhudia, mfano hapa nilipo mimi ni tangu asubuhi mpaka sasa inaendelea kunyesha!

Watu wengi sana wanasumbuliwa na magonjwa ya uvimbe katika sehemu mbalimbali za miili yao, inaweza kuwa tumboni, kwenye utumbo, figo, mirija ya uzazi na sehemu nyingine za mwili. Asilimia kubwa hufanyiwa upasuaji ili kuondoa vimbe hizo na wengine kulingana na unyeti wa sehemu zilipo wanaendelea kuishi kwa matumaini ya kutumia vidonge vya kutuliza maumivu huku siku zikisogea,na asilimia ndogo hupata suluhisho kupitia tiba mbadala na kupona kabisa bila kufanyiwa upasuaji wowote.

Mti huu wa Nsuha (rejea katika picha) unafanya kazi hii ya kuondoa uvimbe mwilini kwa ufanisi mkubwa sana kama utazingatia uandaaji na matumizi yake, kila sehemu yake ni dawa lakini kwa mimi hapa nazungumzia mizizi yake. Mizizi yake huvunwa na kukaushwa (siyo juani) vyema ili isipoteze ubora na baadaye husagwa vizuri kwa ajili ya matumizi.

Mtu mwenye uvimbe wa aina yoyote anaweza kuitumia kwa muda wa mwezi mmoja tu akapata nafuu na kupona kabisa tatizo. Asubuhi na jioni kijiko kimoja cha chai katika maji moto ama uji. ACHA KUPUUZA NA KUDHARAU VITU.

Kuna miti mingi sana yenye uwezo wa kuondoa kabisa vimbe sugu katika mwili wa binadamu, na inaweza hata kuchanganywa miwili ama mitatu kwa ufanisi na ikatoa matokea makuu sana kwa ajili ya kujifunza tutajifunza mmoja baada ya mwingine. Usiogope kujaribu mitishamba ni hazina kubwa sana.

Mungu akubariki!

Ezekiel 47:12.

View attachment 2086499
tunajaribu kuutafta mti huu bila mafanikio yoyote, kama ungeweza kutupa more information kuhusu wapi pakuupata au kama kuna wanao uza zilizo kaushwa na kusagwa tafadhali, nitashukuru sana.
 
Ni Bora kuwa na kitambi kuliko vidonda vya tumbo
 
Mkuu dawa ya amiba sugu
Tafuta mizizi ya mlungulungu,itwangetwange vizuri na kisha ianike ikauke vizuri(anika kivulini).Baada ya kukauka vyema isage vizuri iwe katika hali ya unga laini.Tumia kijiko kimoja cha dawa hiyo katika maji moto kutwa mara mbili kwa muda wa mwezi mzima.Hakuna amiba sugu atabaki tumboni.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Tafuta mizizi ya mlungulungu,itwangetwange vizuri na kisha ianike ikauke vizuri(anika kivulini).Baada ya kukauka vyema isage vizuri iwe katika hali ya unga laini.Tumia kijiko kimoja cha dawa hiyo katika maji moto kutwa mara mbili kwa muda wa mwezi mzima.Hakuna amiba sugu atabaki tumboni.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Mlungulungu ukoje mkuu. Ikikupendeza weka picha yake hapa
 
Back
Top Bottom