ZagaZagarino
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 431
- 589
Aseeh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tiba ya kwanza ni wewe mwenyewe kubadili mtindo wako wa maisha kwa kujiepusha na vyakula vilivyosindikwa na matumizi ya sukari kwa wingi.Tumia mchanganyo wa tangawizi na limao kidogo katika maji moto na ongeza vijiko 3 vya asali dakika 30 kabla ya kula kwa siku 30.Limao ina acid lakini inapochanganywa na vitu hivyo huweza kutengeneza alkaline nzuri sana kwa kusawazisha na kuregulate uzalishwaji wa Hcl tumboni.Mimi nataka kujua tiba ya acid reflux,mwanzoni nilijua ni vidonda vya tumbo na nikawa nahangaika kuvitibia. Nimekuja gundua ni acid reflux. Hizi dawa za hospitalini zinatuliza tu,hakunaga za kienyeji? Wengi wanaojitangaza mtandaoni nawaona kama matapeli tu.
Tiba ya kwanza ni wewe mwenyewe kubadili mtindo wako wa maisha kwa kujiepusha na vyakula vilivyosindikwa na matumizi ya sukari kwa wingi.Tumia mchanganyo wa tangawizi na limao kidogo katika maji moto na ongeza vijiko 3 vya asali dakika 30 kabla ya kula kwa siku 30.Limao ina acid lakini inapochanganywa na vitu hivyo huweza kutengeneza alkaline nzuri sana kwa kusawazisha na kuregulate uzalishwaji wa Hcl tumboni.
Chemsha mzizi wa mkundekunde na utumie kwa kunywa kila siku mara 3 kwa siku kwa muda wa wiki 3 mfululizo.Baada ya hapo endelea kutumia unga wa mzizi wa mmea wa NSOMA kwa siku 14.Kijiko cha chai kwenye maji moto× 3 kwa siku.Mkuu naomba kujua tiba ya amoeba sugu zinazosababisha kikoozi sugu kisichopona.
Hii inategemeana,haiwezi kuwa specific maana degedege inaweza kuwa ya kimfumo zaidi.Dawa ya degedege mtaalam
BP inategemeana na chanzo chake,na kila chanzo kina tiba yake.Maana yake ukitibu chanzo BP inapona automatically.Miongoni mwa visababishi ni hivi:Mimi pia nasubiria jibu la dawa ya BP
Ninapatikana kama ukihitaji kunipata,tunapeana mawasiliano.Mkuu tunakupataje
Kuna mihogo inachanganywa na majani Fran basi HIV kwisha habar yakeNaomba kujua mimea inayotibu HIV
Tumia mti wa mzambarau magome yakeTiba ya kisukari ni ipi hasa??
Tumia mti wa mzambarau magome yakeTiba ya kisukari ni ipi hasa??
Kaoge mto RuvuDawa ya kusafisha nyota
Mkuu mimi nataka kijiti cha kufanya tu mambo yaende bila changamoto kama kuna kikwazo kitoke bila kumharibia binadamu yeyote wala mnyamaJambo watanzania wenzangu!!
Katika kubadilishana maarifa ninaomba kuulizwa chochote juu ya dawa asili za mimea na mitishamba katika kutibu magonjwa mbalimbali.
NB: Maswali hayo yasihusishe ramli na mambo ya kishirikina, ama mambo dhahania, maswali yajielekeze katika magonjwa ya kila siku ambayo tunaishi nayo na yanatusumbua.
Tumia mchai chai itakusaidiaNaomba dawa ya uti sugu kwa mwanaume iliyoshindikana kutibika hospital yenye muda wa miaka 4
Tumia nduleleMkuu mimi nataka kijiti cha kufanya tu mambo yaende bila changamoto kama kuna kikwazo kitoke bila kumharibia binadamu yeyote wala mnyama
Ndio ikoje io mkuu na inapatikana vipiTumia ndulele
Ndio ikoje io mkuu na inapatikana vipi
Unatumikaje mkuu huu
Ndio ikoje io mkuu na inapatikana vipi