Niulize chochote juu ya tiba za Mitishamba

Tiba ya kwanza ni wewe mwenyewe kubadili mtindo wako wa maisha kwa kujiepusha na vyakula vilivyosindikwa na matumizi ya sukari kwa wingi.Tumia mchanganyo wa tangawizi na limao kidogo katika maji moto na ongeza vijiko 3 vya asali dakika 30 kabla ya kula kwa siku 30.Limao ina acid lakini inapochanganywa na vitu hivyo huweza kutengeneza alkaline nzuri sana kwa kusawazisha na kuregulate uzalishwaji wa Hcl tumboni.
 

Jiepushe pia na utumiaji wa sigara na unywaji wa pombe.Ukishafanya hayo,tumia unga wa mzizi wa mjafali kijiko cha chai kwenye maji moto× 3 kwa siku.UTAPONA KABISA.
 
Mkuu naomba kujua tiba ya amoeba sugu zinazosababisha kikoozi sugu kisichopona.
Chemsha mzizi wa mkundekunde na utumie kwa kunywa kila siku mara 3 kwa siku kwa muda wa wiki 3 mfululizo.Baada ya hapo endelea kutumia unga wa mzizi wa mmea wa NSOMA kwa siku 14.Kijiko cha chai kwenye maji moto× 3 kwa siku.
 
Mimi pia nasubiria jibu la dawa ya BP
BP inategemeana na chanzo chake,na kila chanzo kina tiba yake.Maana yake ukitibu chanzo BP inapona automatically.Miongoni mwa visababishi ni hivi:
Mishipa ya moyo kupanuka/ kusinyaa,
Lehemu iliyozidi( Cholestrol),
Tundu kwenye moyo,
Kiwango cha mnato wa damu( blood viscosity),Shida ya misuli ya vyumba vya moyo,msongo wa mawazo n.k.
Lakini pia inaweza kuwa BP ya kupanda ama kushuka,wewe una maanisha ipi...!? Au unapata dalili zipi katika mwili wako( angalu 5)
 
Mkuu mimi nataka kijiti cha kufanya tu mambo yaende bila changamoto kama kuna kikwazo kitoke bila kumharibia binadamu yeyote wala mnyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…