Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Huu ugonjwa umekuwa maarufu sijui kwa nini na huko Insta naona wanaoutibu ni wengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sababu zinazoweza kufanya mimba kuharibika;Tiba ya kutokwa na mimba zikiwa chini miezi mitatu ni ipi, ukianza kujibu uanze nini sababu ya hilo tatizo
Tiba ni kufahamu kwanza chanzo cha tatizo.Maana kila chanzo kinaweza kutibiwa kwa njia tofauti.Mtu mwenye chango ni tofauti na mtu aliyeathiriwa na utoaji wa mimba ama magonjwa ya zinaa.Sababu zinazoweza kufanya mimba kuharibika;
1.Maambukizi katika mji wa mimba
2.Magonjwa ya zinaa
3.Mvurugano wa homoni( Michango)
4.Magonjwa ya zinaa
5.Utoaji wa mimba
6.Sababu za kijamii (mambo ya imani) n.k
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Mimea yenye kiwango kikubwa cha hydrogen ions ni mimea yote yenye asili ya tindikali(asidi).Na kwa hiyo PH yake haiwezi kuwa 8 mpaka 10.PH ya mimea hiyo ni chini ya 7 maana yake 0-6.PH inapokuwa zaidi ya 7 maana yake ni kiwango kikubwa cha hydroxide ions (OH-)Naomba kujua Mimea yenye kiwango kikubwa cha Hydrogen ions (PH) kuanzia 8 hadi 10.
Nakmba kujua ni wapi ambapo naweza kupeleka Majani/Mimea/Mboga za majani/Au matunda na kufanyia vipimo ili kujua Active ingredients kwenye hiyo Mimea?
SAWA tumekuelewa lakini upatikanaji wa hiyo mimea wengine ni tatzo tunapatajePID (Pelvic Inflammatory Desease) Yaani maambukizi katika via vya uzazi vya mwanamke/ mji wa mimba.
PID huhusisha maambukizi katika mji wa mimba. Bacteria aina ya Candida hushambulia via vya uzazi vya mwanamke na kusababisha Fangasi ambayo hupelekea maambukizi zaidi katika mji wa mimba yaani PID. Hata kabla haujafika kwa daktari unaweza kujitambua mwenyewe kama umeathirika na ugonjwa huu wa PID.
1. Kama uliambiwa kuwa una UTI na umeitibu kwa dozi sahihi, mara kadhaa na kwa muda mrefu bila mafanikio, ujue kuwa umeathirika na ugonjwa huu wa PID.
2. Kama umetumia dawa za kupachika ukeni kwa lengo la kutibu Fangasi au UTI kwa muda mrefu na unapona, lakini tatizo linarudia tena kila mara, ujue kuwa umeathirika na ugonjwa huu wa PID.
3. Kama huna matatizo ya magonjwa ya zinaa, lakini unatokwa uchafu mweupe, njano, kijani ama majimaji yanayotoa harufu kali sehemu za siri, ujue kuwa una shida ya PID.
PID haiponi kwa urahisi kama wengi wanavyodhani, ni ugonjwa unaoweza kusababisha saratani ya mlango wa kizazi hasa inapofikia hatua ya kutokwa na uchafu wa kijani, maana maambukizi yanakuwa yamefikia kiwango cha juu zaidi(Severely abnormal).
PID inaweza kusababisha kutoshika ujauzito, kuziba kwa mirija ya uzazi, maumivu makali wakati wa tendo yanayoambatana na kutokwa damu na miwasho sehemu za ukeni.
Bakteria wanaosababisha PID huweza kumwingia pia mwanaume kupitia njia ya kujamiana na kumsababishia dhahama kubwa. Mwanaume anaweza kutokwa na uchafu kwenye mrija wa uume na wakati mwingine maumivu makali ndani ya mrija.Mara nyingi unapokwenda kuchukua vipimo majibu huwa ni UTI, lakini kila unapotumia dozi unaweza kuhisi nafuu na baadaye tatizo huendelea.
Ili kujitibu tatizo hili kwa urahisi na kuweza kupona kabisa, unashauriwa kujitibu wewe na mwenza wako kwa pamoja ili kuepusha maambukizi mapya ya Bakteria, wengi wanahangaika na shida hii kwa muda mrefu sana bila kugundua na wanazidi kumeza antibiotics kila mara bila mafanikio.
Unaweza pia kutumia mitishamba inayoweza kuua kabisa bakteria hawa na ukapona kabisa tatizo hili.
Chimba Mizizi ya tulatula kiasi, ongeza na mizizi ya papai la kiume na uichemshe vizuri, Ongeza kidogo unga wa mizizi ya mti wa nsuha baadaye chuja maji yake. Tumia glass moja ×3.
Unaweza kuhisi nafuu ndani ya masaa 24, lakini unakiwa kufanya hivi kwa wiki 2 au 4 mfululizo kutegemeana na ukomavu wa ugonjwa.
Mungu akubariki sana!
Hivi wewe unakuwaga sanamu? Kila uzi komenti yako ni hii hii.Ngoja waje kuchukua muongozo...
Hapa umenichanganya mkuu.Mimea yenye kiwango kikubwa cha hydrogen ions ni mimea yote yenye asili ya tindikali(asidi).Na kwa hiyo PH yake haiwezi kuwa 8 mpaka 10.PH ya mimea hiyo ni chini ya 7 maana yake 0-6.PH inapokuwa zaidi ya 7 maana yake ni kiwango kikubwa cha hydroxide ions (OH-)
Kiwango cha kemikali katika mimea,matunda na vyakula huthibitishwa katika maabara ya mkemia mkuu wa serikali kupitia mamlaka za usimamizi kama vile TFDA,TMDA,TBS n.k
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Lakini pia kama hautojali aende apime damu yake na ya mwenza wake kuna magoup damu zao zina protin nyingi mengine hayana sasa hapo inategemea kama baba ndio anayo kwa damu yake mama hana basi mama akishika ujauzito baada ya muda lazima iwe tabu sema mkicheki hata akija kupata tena kuna sindano zake anapigwa mapema tu haileti shida tenaTiba ya kutokwa na mimba zikiwa chini miezi mitatu ni ipi, ukianza kujibu uanze nini sababu ya hilo tatizo
Usihofu unaweza kutumia dozi ya vitunguu saum kwa kumenya punje 6..7 kila asubuh na jioni unavikata unameza na maj tumia kwa siku kumi ...14 lkn usiwe na presha ya kushuka make vitunguu saumu vinashusha presha sasa mwenye prsha ya kushuka hashauliw sana kuvtumia lkn ndio dawa konk ya PIDSAWA tumekuelewa lakini upatikanaji wa hiyo mimea wengine ni tatzo tunapataje
Kuna mambo kadhaa yanayoweza kusababisha hali hiyo;
Kapime kiwango cha lehemu katika damu( Cholestrol).tatizo la damu kuwa nzito pamoja na mzunguko wa damu kuwa mbovu
#Kuna tiba lishe,kwa maana ya kutumia zaidi vyakula vyenye uwezo wa kuchochea uzalishaji wa homoni hiyo.Naomba kujua tiba ya kuzalisha / kuimarisha homoni ya Testosterone na kuimarisha mfumo wa uzazi kwa mwanaume...
Pia naomba kujua mwanamke kuto kuona hedhi homoni imbalance inahusika?