malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo ni dalili za tatizo la mishipa ya damu,either imesinyaa ama vinginevyo,hivyo haina uwezo wa kusafirisha na kupitisha damu kwa ufanisi unaotakiwa.Lakini pia inaweza kuwa tatizo la mishipa ya damu ya kwenye moyo ( Cardial Vascular).Kwa hiyo damu haisafirishwi kwa kiwango kinachotakiwa na kwa wakati kuzifikia sehemu mbalimbali za mwili (Hakuna mchawi hapo).Lakini pia inaweza kuwa ni lehemu iliyozidi kiwango katika mishipa au damu na hivyo kusababisha damu kutosafiri kwa kiwango na wakati sahihi kuzifikia sehemu baadhi za mwili na matokeo yake ndiyo unaona baadhi ya sehemu zinapata ganzi,mwili kuchoka,maumivu ya kifua na mabegani na wakati mwingine kiuno.Matatizo haya hupelekea hata kushindwa kupata nguvu za kiume. Matatizo haya yote hupatiwa tiba kwa njia ya mitishamba asilia na yakaisha kabisa.Kama utahitaji msaada huo nakukaribisha sana.Chaputa[emoji23][emoji23]
Hizo ni dalili za tatizo la mishipa ya damu,either imesinyaa ama vinginevyo,hivyo haina uwezo wa kusafirisha na kupitisha damu kwa ufanisi unaotakiwa.Lakini pia inaweza kuwa tatizo la mishipa ya damu ya kwenye moyo ( Cardial Vascular).Kwa hiyo damu haisafirishwi kwa kiwango kinachotakiwa na kwa wakati kuzifikia sehemu mbalimbali za mwili (Hakuna mchawi hapo).Lakini pia inaweza kuwa ni lehemu iliyozidi kiwango katika mishipa au damu na hivyo kusababisha damu kutosafiri kwa kiwango na wakati sahihi kuzifikia sehemu baadhi za mwili na matokeo yake ndiyo unaona baadhi ya sehemu zinapata ganzi,mwili kuchoka,maumivu ya kifua na mabegani na wakati mwingine kiuno.Matatizo haya hupelekea hata kushindwa kupata nguvu za kiume. Matatizo haya yote hupatiwa tiba kwa njia ya mitishamba asilia na yakaisha kabisa.Kama utahitaji msaada huo nakukaribisha sana.Mwili unakosa nguvu na pia nahisi ganzi mikonon na miguuni
Je tiba yake ni ipi
Tumia mchanganyo wa almond,mbegu za maboga na karanga mbichi +asali mbichi kila siku katika mlo wako wa chai na jioni unapotoka kazini.Usiache kunishukuru[emoji120][emoji120]Nile nini niboreshe mbegu zangu
Tumia mchanganyo wa limao na asali kila baada ya masaa manne.Kama umetumia sana na hupati nafuu unaweza kunitafuta kwa usaidizi zaidi.Dawa ya kikohozi mkuu cha muda mrefu
Hayo ni matokeo ya ukuaji usio rasmi wa tezi ya thyroid iliyo maeneo ya shingo unaosababishwa na utolewaji wa kiwango kinachozidi kiasi cha homoni ya thyroid.Kwa hiyo unatakiwa kupata dawa ya mitishamba yoyote ambayo ina uwezo wa kuondoa vimbe mwilini itakutibu kwa ufanisi mkubwa mno.
Tafuta majani ya tulatula vuna na kausha vizuri kivulini(vuna wakati wa mchana) baada ya kukausha saga vizuri iwe katika hali ya poda au unga laini.Unatumia kijiko 1×3kwa siku katika maji moto. Au chimba mizizi ya tulatula na mizizi ya papai dume changanya kwa pamoja na uchemshe.Tumia kikombe 1 cha chai ×3 kwa siku.Naomba tusaidie et dawa ya PID
Pole sana ndugu yangu.Kama unaweza tuwasiliane kwa maelezo zaidi.Mim nna tatizo lakoo kuuma ndani chini kabisa linauma usiku mzima nkiwa usingizini Hadi kunakucha
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Tuwasiliane nikupe dawaSawa so unanishauri nitumie tiba asili ya aina gani mkuu maana nameza ma antibiotics siponi
Ke au me make dawa znatofautianaNaomba kujua dawa ya fungus Sugu sehemu nyetii. Dawa zimetumika mda mrefu lakini zinapotea na kurudi
MwanaumeKe au me make dawa znatofautiana
@ksksk meKe au me make dawa znatofautiana
Mkuu naomba uelezee zaidi kuhusu hii dawa ya NSUHA na vipi kuhusu ufanisi wake kwa goitre ambayo imeshakaa mda mrefu?Hayo ni matokeo ya ukuaji usio rasmi wa tezi ya thyroid iliyo maeneo ya shingo unaosababishwa na utolewaji wa kiwango kinachozidi kiasi cha homoni ya thyroid.Kwa hiyo unatakiwa kupata dawa ya mitishamba yoyote ambayo ina uwezo wa kuondoa vimbe mwilini itakutibu kwa ufanisi mkubwa mno.
Niliwahi kueleza hapa juu ya mti wa NSUHA kama unaweza kuupata fuata maelekezo yake ya uandaaji itakusaidia sana kuondoa tatizo hilo.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app