madawi mart
Senior Member
- Nov 27, 2018
- 176
- 88
Habari wana JF,
Kichwa cha habari kinajielezea,
Huu ni uzi wa kipekee unaohusu maswala yote yahusuyo biashara, masoko na mauzo, kwa hiyo kama utakuwa una kitu chochote unahitaji kufahamu juu ya vitu nilivyotaja hapo juu usisite kuuliza maana mimi au mtu yeyote atakaye fahamu atakupa majibu yanayohitajika.
Karibuni sana[/QUONatafuta soko la kuuza kuku wa kisasa Dodoma pamoja Nguruwe.