Kiti Chema
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,793
- 1,961
Mkuu mimi nahitaji ushauri wa kipi nianzishe kwa Mkoa wa Kigoma. Nina mtaji wa laki mbili na nusu hivi. Nilikuwa na wazo la kuanzisha 1. Biashara ya mitumba je nitaipata wapi na faida inapatikanaje.
2. Kufungua duka la vipodozi ambalo linaanza na mtaji mdogo tu kama huo, je nikweli unapotaka kufungua duka hilo nilazima uende kusadili duka kwa mkemia anayehusia na mambo ya Afya.
2. Kufungua duka la vipodozi ambalo linaanza na mtaji mdogo tu kama huo, je nikweli unapotaka kufungua duka hilo nilazima uende kusadili duka kwa mkemia anayehusia na mambo ya Afya.