Niulize chochote kuhusiana na biashara, masoko na mauzo

Niulize chochote kuhusiana na biashara, masoko na mauzo

Mimi nataka kununua tank la maji, simtank. Naomba anayejua bei zake anijuze, hasa kwa tanki la lita 1,000, Lita 5,000 na Lita 10,000.
 
Mimi nipo Mwanza ninauza mbao size tofauti tofauti lakini shida imekuwa soko lipo vibaya sana wateja hawapatikani kabisa naomba msaada wako mkuu kwenye hili
 
nataka kufaham mkuu kuhusu hizi fahar huduma ya crdb na nmb.. faida inakujaje au inakuwaje?
 
Habari wana JF,

Kichwa cha habari kinajielezea,

Huu ni uzi wa kipekee unaohusu maswala yote yahusuyo biashara, masoko na mauzo, kwa hiyo kama utakuwa una kitu chochote unahitaji kufahamu juu ya vitu nilivyotaja hapo juu usisite kuuliza maana mimi au mtu yeyote atakaye fahamu atakupa majibu yanayohitajika.

Karibuni sana
Wapi naweza pata mabalo yamikoba ya mtumba ya jumla na bei zake zipoje?
 
Wapi naweza pata mabalo yamikoba ya mtumba ya jumla na bei zake zipoje?
mkuu hapa posta Dar wanauza wahindi kibao, bei sifahamu, ila nafahamu wanauza kulingana na gred, labda nikufanyie utafiti nikipata time then nitarudi kwako
 
unamaoni gani kuhusu hisa za CRDB na uwekezaji wake ni wa tija ? naweza kununua hisa zao?
 
Boss mambo vipi! Binafsi mm ni muuzaji wa Nguo hapa jijini mwanza, mtaji Wangu n 2.5 mil so nahitaji niwe nanunua jumlajumla Na niwe nauza jumlajumla pia, kwani mwez ujao natarajia kuongeza km 3mil ivi ili mtaji ufike 5.5ml je, kwa DSM nitapata wapi maduka ya Nguo za kike yanayouza Nguo za jumlajumla ! Km utapendezewa naomba namba pia boss
kwa nguo za jumla nipm mkuu
 
mkuu hapa posta Dar wanauza wahindi kibao, bei sifahamu, ila nafahamu wanauza kulingana na gred, labda nikufanyie utafiti nikipata time then nitarudi kwako
Okey asante, ni posta maeneo gan? Kama unafaham mitaa tafadhal nisaidie pia naomba unisaidie kuuliza na bei zake kwa balo
 
Back
Top Bottom