Orketeemi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,063
- 12,866
Sasa tamaa yako kwenye hiyo biashara inatokana na nini? Yaani nini kimekufanya upende kufanya hiyo biashara ilihali hujui pakupata bidhaa wala pa kuiuza?Natamani sana kufanya biashara ya dagaa kamba(prawns), nahitaji kujua mtaji wa kuanzia, wapi nitawapata na wapi nitawauza.
Naomba majibu yenye uhakika maana sijawahi fanya hiyo biashara.