madawi mart
Senior Member
- Nov 27, 2018
- 176
- 88
Habari wana JF,
Kichwa cha habari kinajielezea,
Huu ni uzi wa kipekee unaohusu maswala yote yahusuyo biashara, masoko na mauzo, kwa hiyo kama utakuwa una kitu chochote unahitaji kufahamu juu ya vitu nilivyotaja hapo juu usisite kuuliza maana mimi au mtu yeyote atakaye fahamu atakupa majibu yanayohitajika.
Karibuni sana[/QUONatafuta soko la kuuza kuku wa kisasa Dodoma pamoja Nguruwe.
Uulizwe maswali yote we google?
Isitoshe hujajibu hata moja mpaka sasa, mi nataka kujua majina ya watu elfu 5 waliokula mkate mmoja wa yesu wakashiba?
Mkuu mimi nahitaji ushauri wa kipi nianzishe kwa Mkoa wa Kigoma. Nina mtaji wa laki mbili na nusu hivi. Nilikuwa na wazo la kuanzisha 1. Biashara ya mitumba je nitaipata wapi na faida inapatikanaje.
2. Kufungua duka la vipodozi ambalo linaanza na mtaji mdogo tu kama huo, je nikweli unapotaka kufungua duka hilo nilazima uende kusadili duka kwa mkemia anayehusia na mambo ya Afya.
Mimi nataka kununua tank la maji, simtank. Naomba anayejua bei zake anijuze, hasa kwa tanki la lita 1,000, Lita 5,000 na Lita 10,000.
Yani anunue mtumba Dar akauze Mbeya? Are you serious mkuu! Mtumba ulivyo cheap Mbeya sasa atapata faida gani? Unajua kwamba kuna uwezekano wa raba pair moja ya Tshs. elfu 8 Mbeya Dar ukaiuza kwa tshs.elfu 40!
There must be a problem somewhere katika ufikiriaji wako.
biashara ya mitumba inasoko sana kigoma but kwa vijijini unakuja zako karume unachukua mitumba yako ya nguo moja buku ukifika huko unauza mpka elfu 4
Zipo huku nilipo, Jumla ni tshs.10000Nataka kujua wapi nitapata earphones kampuni ya awei kwa jumla. Na zinaptikana kwa bei gani? Msaada wa haraka tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa kaazima kichwa cha Dudubaya๐๐๐๐haijui.mbeya mkuu...msamehe..
hahhahaa...ni kma uchukue nazi kibaha upeleke tanga๐๐๐Atakuwa kaazima kichwa cha Dudubaya
HahahAcha bangi..na mm nmejua yy google..labda hakuelewa anataka aandikaje
Hahah anataka kuchekesha walionuna kipindi cha maombolezo ikihahhahaa...ni kma uchukue nazi kibaha upeleke tanga๐๐๐
humu wengi hawajapractice biashara..wanabaki kuiba tu hearsay za watu....!Hahah anataka kuchekesha walionuna kipindi cha maombolezo iki
Mkuu umenifanya nichekee kwenye daladala hadi watu wakanishangaa
ukipada dili la.kupeleka comoro hao wanyama,utakula shavu sana bossHabari ndugu, naomba unifahamishe kuhusu biashara ya ngombe hasa hawa....je minada yake inapatikana wapi? na gharama ya minadani ikoje.na sokoni ukipeleka bei inasemaje. thanks
we jamaa bana daah๐๐๐Uulizwe maswali yote we google?
Isitoshe hujajibu hata moja mpaka sasa, mi nataka kujua majina ya watu elfu 5 waliokula mkate mmoja wa yesu wakashiba?