Niulize chochote kuhusiana na biashara ya duka la jumla

Unga wa sembe,unga wa ngano Mfuta yakupikia, Pempers, Sabuni Soft aina zote, chumvi, biscuits, Tomato,majani ya chai,madaftari Aina zote marapa sabauni za unga Aina zote vibiriti nk...
[emoji3516]
MKUU,
NAOMBA UNISAIDIE BEI YA KIWANDANI KWA CARTON ZA MADAFTARI;
1) QUIRE 1, 2, 3 NA 4,
2) MSOMI na
3) PAGE100 (Excellent).

PIA NATAKIWA KUNUNUA MZIGO WA KIASI GANI ILI NIPATIE BIDHAA HIZO KUTOKA KIWANDANI?
 
[emoji3516]
MKUU,
NAOMBA UNISAIDIE BEI YA KIWANDANI KWA CARTON ZA MADAFTARI;
1) QUIRE 1, 2, 3 NA 4,
2) MSOMI na
3) PAGE100 (Excellent).

PIA NATAKIWA KUNUNUA MZIGO WA KIASI GANI ILI NIPATIE BIDHAA HIZO KUTOKA KIWANDANI?

: kiwandani terms zao wanauza kwa tan so kwa mantki hiyo itakuhitaji ununue kwa Ajent almost 90% ya bidhaa unazoona zinauzwa kwenye maduka ya jumla wananua kwa Ajent


Wao maajent hununua kwa Tan na kuanza kuuzambaza mzigoo

So ukiona maduka ya jumla yakiuza bidhaa zake mfano madaftari, kalamu, pipi,big g, mrapa ujuee wanachukua mizgo kwa maajent tofauti tofauti then wanavi-mix kwa pamoja then wanauzia maduka ya rejareja....

I hope umesoma bro
 
Unaweza kunisaidia wanapopatikana Maagent wa hayo madaftari kwa Dar?
 
Nashukuru Wakulungwa, japo hii catalog ni had uchat na mhusika akupe bei..pale hawajaweka bei za bidhaa zao. Kwa maana hiyo uzo wako ni mtamu ila bado swal la kujua current bei za bidhaa mbali mbali (whole sales) litabaki kitendawili..

Kitu ambacho ni msingi sna katika huu uzi wako pendwa
 
Kuna changamoto nyingi kwenye kuzikusanya bei nataka nikija nije na full nondo

Bei zinacheza

Simple:

Mfano hii Cartons ya Big G Gomba Ajent anauza 31,000 ndani Kuna box 20 ÷ kila box moja kauza 1,550

Ukienda kwenye maduka ya jumla wanauza 2,000 wengine 2,500


Ndani Kuna Pc 100 za Big G


Maduka ya rejareja wanauza Big G, 1 shilling 50 mara 100 wanapata Tsh elf 5,000•
 
Ila white wash siku hizi zimeadimika sijui kwa nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…