Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok nitakuletea listUngetupa current price ya bidhaa mbali mbali ili tukompee na bei za mawakala wa vitu vya jumla mtaani
1. Inasaidia kujua endapo utaanzisha duka la jumla na ukauzia wanaoenda kuuza reje reja margin ya faida kwa bidhaa ni ngapi, maana bei za mizigo kwa hao wanatuuzia reja reja tunazijua
2. Ingesaidia kuona bidhaa zipi uchukue kwa mtaji alio nao mtu
Bado tunasubiria mkuu, uliamua kusaidia jamii funga kamba tumalize huu mchezo wa fursaOk nitakuletea list
mtaji jumla angalau unatakiwa uanze na shi ngapiMoja kwa moja twende kwenye mada
Kama unamalemgo yakufua biashara ya duka hii jumla achana na haya maduka ya mtaania ya Mangi nazungumzia biashara ya jumla mfano pipi, Tambi, Unga, Mafuta,sabuni,nk...
Karibu nipo tayari kushare my experience yangu kwenye hii biashara nayafahamu mengi zaidi na zaidi kwenye hi biashara...
Bidhaa nyingi zinapatikana kwenye viwanda ndipo wanapo nunua hawa matajiri nakuweka kwenye maduka yao ya Jumla
Almost asilimia 98% zinazalishwa hapa hapa Nchini.
Unga wa sembe,unga wa ngano Mfuta yakupikia, Pempers, Sabuni Soft aina zote, chumvi, biscuits, Tomato,majani ya chai,madaftari Aina zote marapa sabauni za unga Aina zote vibiriti nk...
Chamsingi nikuangalia bidhaa zipi utaanza nazo kutokana na mataji wako.
mtaji inategemea na bidhaa unazotaka kuanza nazo Kuna bidhaa cheep za jumla ambazo zinatoka zaidimtaji jumla angalau unatakiwa uanze na shi ngapi
Yani unamanisha ukichukua mzigo wa milion 15 unakopeshwa mzigo wa milion 5 Hadi 8?? sina uhakika kwenye hiloMkuu uzi wako umenivutia sana me ni mmoj ya watu ambao tupo mbioni kufungua duka la jumla katika tafiti zangu nimeambiwa kwenye duka la jumla ukiwa na ml 15 unakofanya manunuzi unaweza bustiwa mzigo wa ml 5 mbaka nane je ni kweli uwa wanafanya ivo
Mkuu madaftari kwa kuuza kwenye duka la jumla yanapatikana wapi?mtaji inategemea na bidhaa unazotaka kuanza nazo Kuna bidhaa cheep za jumla ambazo zinatoka zaidi
Pipi,Big G, pipi, kalamu, karata, tochi, pemepers, biscuits, betrii,mfuta yakujipaka,tomato sauce, chill sauce,poda, chumvi, vibiriti,mikebe, madaftari Aina zote uwe nayo, super Grue, vibiriti ya ges,marapa,sabuni zakuogea,viwembe kufuli,Udi,nk.....
ni wewe tu namtaji wako utaangalia uanzee kuweka bidhaa zipii duka unaweza kuanzia na mtaji hata wa milion 3
Sio ujaze tu stoo unaangalia bidhaa zipi zenye fast moving.
Kuna maajent pale k,koo ukienda utakuta maduka special kwaajili ya kuuza bidhaa za stationery wao wanachukua mzigo mkubwa moja kwa moja kutoka viwandani wengine Wana import kutoka nnje...Mkuu madaftari kwa kuuza kwenye duka la jumla yanapatikana wapi?
Wapi hili lipo,wanaonyesha wako very systematic!!.Hili nimoja kati ya duka kubwa la jumla View attachment 1792162
Nilitaka kununua wanaponunua wenye maduka ya kariakoo ni niwe na Bei ya ushindani Zaid mfano madaftari ya msomiKuna maajent pale k,koo ukienda utakuta maduka special kwaajili ya kuuza bidhaa za stationery wao wanachukua mzigo mkubwa moja kwa moja kutoka viwandani wengine Wana import kutoka nnje...