Niulize chochote kuhusiana na biashara ya duka la jumla

FB_IMG_1620657523564.jpg

Hizi picha ni sehemu ya Store duka la jumla
 
inategemea na sehemu uliyopo mkuu
Majibu yanayoishia njiani ndo huwa siridhiki nayo ..

Umefungua uzi na umetupa Uhuru wa kukuuliza chochote ..lakini bado unatuacha njiani

Kama Unajua inategemea na sehemu

Jibu na utoe mfano wa sehemu kama 5 tofauti ili watu tujifunze ..Ila majibu ya inategemea .....hayaridhishi hata kidogo
 
Hahaha Sasa mkuu

Mimi nipo last sy Tanga so siwezi jua Kodi ya pango ya Iringa Wala Arusha

Embu tuulize maswali yakibiashara zaidi
 
Back
Top Bottom