Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hapo hapo Ulipo fanya ndo case study ya huu uzi ili kupitia mifano halisi tujifunze ..mkuu bila mifano hai utawaacha watu na kiuHahaha Sasa mkuu
Mimi nipo last sy Tanga so siwezi jua Kodi ya pango ya Iringa Wala Arusha
Embu tuulize maswali yakibiashara zaidi
Nkiwa na 10m nawez nkaanza hii biashara vizuriok Mimi sehemu niliyopo Kodi ya pango kwa mwezi nalipa laki 4 location imechangamka Sana..
Sigara unakua AgentNaomba kujua faida ya sigara nataka niwe nauza jumla
Ya unaweza kuanza ujuee duka la jumla huwa linagawanyika kwenye makundi wengi Sana kwahiyo inakupa urahisi wakuchagua biashara yako uingie kwenye kundi lipiNkiwa na 10m nawez nkaanza hii biashara vizuri
Mbona nimeanza na 1M mpaka sasa linakimbiza ml4?Hata reja reja duka la kujaa haitoshi[emoji23]
Naomba kufahamu bei ya kiwandani ya sabuni za white wash na sabuni za jamaa ili nijue kama biashara hii inatoka vizuri maana ktk soko huwa hazikai kwenye waduka ya rejareja sasa sijajua kama idea ya kubase kwenye ununuzi wa bei ya kiwandani huwa shilingi ngapi?Moja kwa moja twende kwenye mada
Kama unamalemgo yakufua biashara ya duka hii jumla achana na haya maduka ya mtaania ya Mangi nazungumzia biashara ya jumla mfano pipi, Tambi, Unga, Mafuta,sabuni,nk...
Karibu nipo tayari kushare my experience yangu kwenye hii biashara nayafahamu mengi zaidi na zaidi kwenye hi biashara...
Sabuni hizi za Jamaa,White Wash, nk..moja kati ya biashara ambayo inatembea kwenye soko almost 98% ya maduka yanayouza vitu mchanganyko basi kwenye shelf zao unakuta wamepanga vipande vya Sabuni:Naomba kufahamu bei ya kiwandani ya sabuni za white wash na sabuni za jamaa ili nijue kama biashara hii inatoka vizuri maana ktk soko huwa hazikai kwenye waduka ya rejareja sasa sijajua kama idea ya kubase kwenye ununuzi wa bei ya kiwandani huwa shilingi ngapi?
Siuweke hapa kwa faida ya wengi? Watu wengine mnakuwa na ubinafsi sana sijui kwanini.Mipm nikuelekeze