Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dunia imebadilika Sasa watu waaminifu wamebaki wachache na ukimuweka ndugu yako ndo yale yale ataiba tunaomba kujua je wanamenge vp inventory/stoke kama umeajiri watu..
je wanatumia software yyte katika operation..
au inakuwa raisi tu watu kuuza bila udanganyifu endapo muusika haupo sn hp kazi.
na je distribution kwa wateja wako unawapekekea au wanakuja kuchukua tu hpo dukani
sawa nimekupata vzur asantDunia imebadilika Sasa watu waaminifu wamebaki wachache na ukimuweka ndugu yako ndo yale yale ataiba tu
Mfuko wako ukiwa mzuri inabidi uweke camera Store na dukani hii itakusaidia pia kuongeza usalama si kwawauzaji tu hata kwa vibaka..
Pia Kuna Software unaweza ukaweka yenye record nzima ya bidhaa ulizokua nazo Store so kila siku unapokea date zamauzo hapo itakupa urahisi wakujua idadi ya bidhaa ulizonazo store...
Ukifanya ukaguzi kwenye store ukibaini System inakwambia mfano Unga uliingiza viroba 100 tarehe 12 Hadi tarehe 15 umeuza viroba 60 kwahiyo store unatakiwa ukute viroba 40 ikiwa tofauti na hapo jamaa wamepigaa
Kwenye issue ya mauzo inabidi uwe na office yenye location ya mzunguko wa watu wateja wanakuja wenyewe kufata bidhaa
Nimeona sehemu baadhi wanafanya delivery ukiwa na usafili unaweza pia kufanya delivery