Mimi ni mtaalamu wa afya ya kinywa na meno napatikana Magomeni - Dar es Salaam na Kibaha -pwani
Kama una swali au changamoto yoyote kuhusu kinywa na meno niandikie hapa chini nitajitahidi kujibu kadri ya uwezo wangu.
Katika vituo hivyo vya kazi pia natoa huduma zifuatazo kwa gharama rafiki kabisa .

Hongera sana mkuu, fani yako ni nzuri sana ni ya ubobezi( specialist). Tumieni public health kufanya awareness na health promotion kwenye afya ya kinywa na meno jamii zetu bado uelewa ni mdogo sana.
Je meno yenye rangi ya kahawia kama waliyonayo watu wa baadhi ya maeneo nchini, ni kweli yameoza? Je nini kifanyike kama.Meno yangu ni ya kahawia na hayajatoboka ila nataka yawe meupe kama Meno ya watu wengine?