Niulize chochote kuhusu afya ya kinywa na meno, nitakujibu

Niulize chochote kuhusu afya ya kinywa na meno, nitakujibu

Mimi ni mtaalamu wa afya ya kinywa na meno napatikana Magomeni - Dar es Salaam na Kibaha -pwani
Kama una swali au changamoto yoyote kuhusu kinywa na meno niandikie hapa chini nitajitahidi kujibu kadri ya uwezo wangu.
  • Katika vituo hivyo vya kazi pia natoa huduma zifuatazo kwa gharama rafiki kabisa .
  • Elimu ya kinywa na meno
  • Kuziba meno yaliyotoboka
  • Kusafisha meno na kung'arisha meno
  • Kupanga meno (braces)
  • Kuweka meno bandia (partial/full denture )
  • Huduma ya mzizi wa jino (root canal treatment)
  • Urembo wa meno
  • Veneers, bleaching, crowns and bridges
Kinywa chenye afya, mwili wenye furaha.

View attachment 3117272
Ukiamka asubuhi kinywa kikatoa damu, tatizo laweza kuwa nini???
 
Ukiamka asubuhi kinywa kikatoa damu, tatizo laweza kuwa nini???
Moja utakuwa na Tatizo la Magonjwa Ya Fizi Hivyo unahitaji kufanya Uchunguzi wa Kinywa Chako ili kubaini tatizo na kupatiwa matibabu , Unaweza wasiliana nami PM
 
mimi ni docta wa menoo na fiziii....natumiaa mafi ya mbuzii na pundaa...matokeo yako vizuriii....ingineni kwenye pm
Kaka naomba msaada kaka hali yangu ni ngumu leo siku ya tatu silali jino linauma vibaya mno
 
Back
Top Bottom