Niulize chochote kuhusu afya ya kinywa na meno, nitakujibu

Niulize chochote kuhusu afya ya kinywa na meno, nitakujibu

1728713344058.png
 
Kuna ya tsh 100,000 ( Acyrilic)
Ceramics ( chuma ) tsh 350,000/=
.Zinconia tsh 400,000
Karibu sana , Unaweza tupigia hapa 0658 950 085
Hiyo ni kwa jino moja au?
Maana mzee aneng'oa 3 ya barazani
 
Mkuu hivi kweli kuna dawa za meno ambazo mtu anaweza kuwa anatumia muda wa kupiga mswaki ambazo zina uwezo wa kuyafanya meno yang'ae na kuwa meupe?
Au ni mpaka kuyang'arisha tu kwanza?
 
Mkuu hivi kweli kuna dawa za meno ambazo mtu anaweza kuwa anatumia muda wa kupiga mswaki ambazo zina uwezo wa kuyafanya meno yang'ae na kuwa meupe?
Au ni mpaka kuyang'arisha tu

Mkuu hivi kweli kuna dawa za meno ambazo mtu anaweza kuwa anatumia muda wa kupiga mswaki ambazo zina uwezo wa kuyafanya meno yang'ae na kuwa meupe?
Au ni mpaka kuyang'arisha tu kwanza?
Dawa yoyote ya meno ni nzuri kuitumia ili mradi iwe na madini ya kutosha ya fluoride kuanzia 1450-1500ppm , pia matumizi kwa watu wazima inatakiwa angalau iwe kama punje ya harage.
 
Vipi tutajuaje dawa hii ya Mswaki ina ubora??
Iwe imethibitishwa na TBS, TDA ( Tanzania Dental Association) kwenye box lake iwe imeandikwa kiwango cha flolaidi 1450- 1500 ppm hivyo ni baadhi ya vitu vya kuangalia kabla hujanunua dawa kwa mangi au pharmacy
 
Back
Top Bottom