Niulize chochote kuhusu Ileje Wilaya ya Mkoa wa Songwe

Natamani kufahamu kuhusu Daraja la Kiteputepu....

Je ni kweli waandali walikuwa wanaluka Mto Kiwira kuja wilaya ya Rungwe???
NYELA LUKOMU.

Kaporogwe inapatikana Undali ama Tukuyu?????
 
Mwagona ndo salamu ya wa ndali ileje Ina makabila mawili wandali na walambia Wana wake wandali ni wavumiluvu Sana kwenye ndoa na Wanaishi popote pale na mwanaume wa kabila lolote mwanamke wa kindali una weza mpiga kila siku lakini haondoki ila sio ila sio wazuri Sana kwa sura na shep wengi woa ni weusi wapole sio wenye tamaa ya pesa
 
Wanakata mauno sana pia

Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
 
Faustincheyo lile jambo letu lihamishie ileje😁💣🔥
 
Mwagona ndo salamu ya wa ndali ileje Ina makabila mawili wandali na walambia Wana wake wandali ni wavumiluvu Sana kwenye ndoa na Wanaishi popote pale na mwanaume wa kabila lolote mwanamke wa kindali una weza mpiga kila siku lakini haondoki ila sio ila sio wazuri Sana kwa sura na shep wengi woa ni weusi wapole sio wenye tamaa ya pesa
Iringa, Njombe, Mbeya, Songwe hii mikoa inaongoza kwa wanawake wavumilivu na wenye sura ngumu na weusi
 
Habarini wana JF.

Nakaribisha maswali maalumu kuhusu wilaya takatifu ya Ileje iliyopo mkoa mpya /lango la SADC ,SONGWE

Karibu mpenzi
Nasikia Ileje tokea ikiwa mkoa wa Mbeya ndio wilaya iliyo nyuma kimaendeleo zaidi je ni kweli
 
Hali ya hewa ya ileje/undali na wilaya ya rungwe wanasema maeneo haya yanafanana sana hili linaukweli
Ni kweli ...Ila kuna baadhi ya sehemu hazifanani kabisa na Ileje ingawa zipo Ileje..mfano kata ya ISONGOLE mvua ni chache mno tofauti na sehemu nyingi za hapa Ileje..Rungwe wanalima Sana Ila Ileje ardhi yake imeoza upande Wa BUNDALI kidogo wana ahuweni.
 
Natamani kufahamu kuhusu Daraja la Kiteputepu....

Je ni kweli waandali walikuwa wanaluka Mto Kiwira kuja wilaya ya Rungwe???
NYELA LUKOMU.

Kaporogwe inapatikana Undali ama Tukuyu?????
Kiteputepu ni madaraja (sanasana ya KIMILA) yasiyo rasmi yanayotengenezwa na wenyeji wanaotumia njia zisizo rasmi .Mara Nyingi hutumika kuunganisha wenyeji Wa upande Wa MALAWI na ILEJE

Yalianzishwa enzi hizo kuboresha uhusiano baina ya Ila mengine yalianzishwa kwa ajili ya kupanua utawala(mfano.ILULU ya Ileje).
LAKINI kwa siku hizi yanatumika kusafirisha na kupitisha magendo na mengine yanatengenezwa kwa ajili ya kipato kwa wanaopita njia za shortcut , mengi yameharibiwa na kuvunjwa

Ila huwezi/huruhusiwi /usithubutu kuvunja kiteputepu hata kama wewe ni RAIS.

Kwa swali lako la pili nataka kukwambia kwamba neno WANDALI linamaanisha WALIOZUNGUKA au WATORO ..wandali ni wanyakyusa ambao walikimbia makwao na kwenda kutafuta maisha sehemu nyingine wakakimbilia MBEYA MJINI,MBOZI,WAKAJA ILEJE, bila kujuwa wanarudi tena kwao TUKUYU na hata sehemu za jirani na kwao..
 
Natamani kufahamu kuhusu Daraja la Kiteputepu....

Je ni kweli waandali walikuwa wanaluka Mto Kiwira kuja wilaya ya Rungwe???
NYELA LUKOMU.

Kaporogwe inapatikana Undali ama Tukuyu?????
Kaporogwe haipo Ileje.
 
Nifahamishe kidogo kuhusu aliyewahi kuwa Mbunge na Waziri wa Elimu kipindi hicho Josiah Mbembela..
Alikuwa anaitwa OSIAH ABENEZALA MBEMBELA
Hakuwa waziri alikuwa NAIBU WAZIRI WA ELIMU
ni mbunge Wa kwanza Wa wilaya ya Ileje mwaka 1975-1985. Kwa sasa ni marehemu
Ila nitakuletea full story soon..coz alistaajabisha wengi
 
Back
Top Bottom