Niulize chochote kuhusu Ileje Wilaya ya Mkoa wa Songwe

Niulize chochote kuhusu Ileje Wilaya ya Mkoa wa Songwe

Kiteputepu ni madaraja (sanasana ya KIMILA) yasiyo rasmi yanayotengenezwa na wenyeji wanaotumia njia zisizo rasmi .Mara Nyingi hutumika kuunganisha wenyeji Wa upande Wa MALAWI na ILEJE

Yalianzishwa enzi hizo kuboresha uhusiano baina ya Ila mengine yalianzishwa kwa ajili ya kupanua utawala(mfano.ILULU ya Ileje).
LAKINI kwa siku hizi yanatumika kusafirisha na kupitisha magendo na mengine yanatengenezwa kwa ajili ya kipato kwa wanaopita njia za shortcut , mengi yameharibiwa na kuvunjwa

Ila huwezi/huruhusiwi /usithubutu kuvunja kiteputepu hata kama wewe ni RAIS.

Kwa swali lako la pili nataka kukwambia kwamba neno WANDALI linamaanisha WALIOZUNGUKA au WATORO ..wandali ni wanyakyusa ambao walikimbia makwao na kwenda kutafuta maisha sehemu nyingine wakakimbilia MBEYA MJINI,MBOZI,WAKAJA ILEJE, bila kujuwa wanarudi tena kwao TUKUYU na hata sehemu za jirani na kwao..
UONGO. wandalai wana Lugha yao tofauti na Kinyakyusa. Hawana uhusiano wowote.
 
Habarini wana JF.

Nakaribisha maswali maalumu kuhusu wilaya takatifu ya Ileje iliyopo mkoa mpya/ lango la SADC ,SONGWE

Karibu mpenzi.
Napenda kufaham kuhusu?
1: Coordinate System ya mahali hapo
2: Datum & Projection ya Hapo
 
Habarini wana JF.

Nakaribisha maswali maalumu kuhusu wilaya takatifu ya Ileje iliyopo mkoa mpya/ lango la SADC ,SONGWE

Karibu mpenzi.
Who is Ileje? Mtakatifu ni wilayaaaaa au ni Mr Ileje? Ni wa Kanisa gani?
 
Back
Top Bottom