jafarikyaka
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 378
- 269
Alikuwa Mbunge wa Ileje.Nifahamishe kidogo kuhusu aliyewahi kuwa Mbunge na Waziri wa Elimu kipindi hicho Josiah Mbembela..
MwalamushaHabarini wana JF.
Nakaribisha maswali maalumu kuhusu wilaya takatifu ya Ileje iliyopo mkoa mpya /lango la SADC ,SONGWE
Karibu mpenzi
Amakurumaki?Wandali wanasalimiaje
Wanakata mauno sana piaMwagona ndo salamu ya wa ndali ileje Ina makabila mawili wandali na walambia Wana wake wandali ni wavumiluvu Sana kwenye ndoa na Wanaishi popote pale na mwanaume wa kabila lolote mwanamke wa kindali una weza mpiga kila siku lakini haondoki ila sio ila sio wazuri Sana kwa sura na shep wengi woa ni weusi wapole sio wenye tamaa ya pesa
Mwagona ndo salamu ya wa ndali ileje Ina makabila mawili wandali na walambia Wana wake wandali ni wavumiluvu Sana kwenye ndoa na Wanaishi popote pale na mwanaume wa kabila lolote mwanamke wa kindali una weza mpiga kila siku lakini haondoki ila sio ila sio wazuri Sana kwa sura na shep wengi woa ni weusi wapole sio wenye tamaa ya pesa
Faustincheyo lile jambo letu lihamishie ileje😁💣🔥
Iringa, Njombe, Mbeya, Songwe hii mikoa inaongoza kwa wanawake wavumilivu na wenye sura ngumu na weusiMwagona ndo salamu ya wa ndali ileje Ina makabila mawili wandali na walambia Wana wake wandali ni wavumiluvu Sana kwenye ndoa na Wanaishi popote pale na mwanaume wa kabila lolote mwanamke wa kindali una weza mpiga kila siku lakini haondoki ila sio ila sio wazuri Sana kwa sura na shep wengi woa ni weusi wapole sio wenye tamaa ya pesa
Nasikia Ileje tokea ikiwa mkoa wa Mbeya ndio wilaya iliyo nyuma kimaendeleo zaidi je ni kweliHabarini wana JF.
Nakaribisha maswali maalumu kuhusu wilaya takatifu ya Ileje iliyopo mkoa mpya /lango la SADC ,SONGWE
Karibu mpenzi
Ni kweli ...Ila kuna baadhi ya sehemu hazifanani kabisa na Ileje ingawa zipo Ileje..mfano kata ya ISONGOLE mvua ni chache mno tofauti na sehemu nyingi za hapa Ileje..Rungwe wanalima Sana Ila Ileje ardhi yake imeoza upande Wa BUNDALI kidogo wana ahuweni.Hali ya hewa ya ileje/undali na wilaya ya rungwe wanasema maeneo haya yanafanana sana hili linaukweli
Kiteputepu ni madaraja (sanasana ya KIMILA) yasiyo rasmi yanayotengenezwa na wenyeji wanaotumia njia zisizo rasmi .Mara Nyingi hutumika kuunganisha wenyeji Wa upande Wa MALAWI na ILEJENatamani kufahamu kuhusu Daraja la Kiteputepu....
Je ni kweli waandali walikuwa wanaluka Mto Kiwira kuja wilaya ya Rungwe???
NYELA LUKOMU.
Kaporogwe inapatikana Undali ama Tukuyu?????
Kaporogwe haipo Ileje.Natamani kufahamu kuhusu Daraja la Kiteputepu....
Je ni kweli waandali walikuwa wanaluka Mto Kiwira kuja wilaya ya Rungwe???
NYELA LUKOMU.
Kaporogwe inapatikana Undali ama Tukuyu?????
Alikuwa anaitwa OSIAH ABENEZALA MBEMBELANifahamishe kidogo kuhusu aliyewahi kuwa Mbunge na Waziri wa Elimu kipindi hicho Josiah Mbembela..