Mdogo ake the BOLD
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 510
- 871
Oil ya gear box ipo sawa? oil ya steering nayo ipo sawa? Tazama hayo wakati ukisubiri wataalam zaidi..
Hivyo ulivyoambiwa hapo juu ndo vinatakiwa kuwekwa na tatizo litaisha msipende kutumia gari hadi hydraulic na oil zikaisha mnasaga vyumaAsante mkuu ntaangalia
Nimeenda kwa fundi amenambia ni CLUTCH PLATE zimeishaHivyo ulivyoambiwa hapo juu ndo vinatakiwa kuwekwa na tatizo litaisha msipende kutumia gari hadi hydraulic na oil zikaisha mnasaga vyuma
Vipi kuhusu steering?Nimeenda kwa fundi amenambia ni CLUTCH PLATE zimeisha
Vipi kuhusu steering?
Possible misdiagnosis: Je gari halina nguvu? yaani wakati ukikanyaga mafuta haliongezi mwendo? Kama haliongezi mwendo basi kweli ni clucth plate lakini kama gea ikishiangia gari linakwenda vizuri tu, basi huenda tatizo siyo clutch plate bali hydraulic fluid ya clutch. Kumbuka kuwa kuendesha gari bila kuwa na hydraulic ya kutosha huhishia kuharibu clutch plate pia.Nimeenda kwa fundi amenambia ni CLUTCH PLATE zimeisha
Huenda mafuta ya clutch na ya steering yamepungua; jaziliza.
Possible misdiagnosis: Je gari halina nguvu? yaani wakati ukikanyaga mafuta haliongezi mwendo? Kama haliongezi mwendo basi kweli ni clucth plate lakini kama gea ikishiangia gari linakwenda vizuri tu, basi huenda tatizo siyo clutch plate bali hydraulic fluid ya clutch. Kumbuka kuwa kuendesha gari bila kuwa na hydraulic ya kutosha huhishia kuharibu clutch plate pia.
Hiyo sio tatizo la clutch plate ni hydraulic oil haimo humo kwenye hizo sehemuGia ikishaingia gar linachanganya vzur tu shida tu ni kama gia inakwama bas lakin ikishaingia inakaa sawa
Kwa kawaida kama gari imetumika vizuri bila misukosuko ya kiufundi, oil inatakiwa imwagwe kila baada ya km 8,000 na ushee tu. Ila kukiwa na msukosuko sana kama vile safari za kupanda milima kwa muda mrefu za mara kwa mara na mizigo mizito, basi inabidi oili imwagwe mapema kabla ya hapo, kama km 6,000 hivi.Hii unaimwaga baada ya km ngapi..??
Utaisikia VITZ haili mafuta kabisaOil ya gear box ipo sawa? oil ya steering nayo ipo sawa? Tazama hayo wakati ukisubiri wataalam zaidi..
Tunashukur kwa kutupa somo zuri m mim maswali yang n mawil (1)kazi ya throto valve n nini pamoja Na vacuum (2) mfumo wa Turbo unafanyajee kazii .Nawasiilisha karibu Kichuguu
Pole sana; ni muujiza mkubwa sana huo wala sina maelezo ya kuridhisha kuhusu tukio hilo. Inawezekana kuwa hawakujaza oil kiasi cha kutosha kwa hiyo ukipima wakati gari iko kwenye kilima kuelekea chini unaona kama oil inatosha lakini ukipima wakati gari liko kwenye kilima kuelekea juu unaona kuwa hakuna oil kabisa.Mkuu kuna scenario imenitokea juzi nimeshindwa kuielewa. Kuna Nissan Serena 2011 engine ya C26 ina kama week tatu. Nilivyoifuata bandarini tulifanya service na wakaweka oil ya Takumi kama inavyonekana kwenye picha
Juzi nilikiwa safarini kutoka Arusha kwenda Iringa, asubuhi nikacheck oil na ilikuwa poa kabisa na nikaanza safari mpaka iringa, nilikiwa naenda 130-150kph na nilifika salama Iringa kabisa. Asubuhi yake nikacheck engine oil kabla ya kuanza safari nyingine nikakuta engine kavu kabisa hamna oil! Nikamfuata fundi kuja kucheck naye akasema hamna oil. Basi tukafuata oil ya total quartz 9000 (synthetic) na kuongeza ili tuweze kuipeleka gari garage ili tuweze kuiangalia kwa undani. Cha kushangaza hakukuwa na leakage yoyote! Baada ya kuhakikisha hakuna leakage nikaendelea na safari ya kama km 400 na nilifika salama na oil ipo level ile ile tuliongeza! bado najiuliza ile oil ya mwanzo ilipotelea wapi? View attachment 1252356
Ila hizi oil za kichina hizi...Mkuu kuna scenario imenitokea juzi nimeshindwa kuielewa. Kuna Nissan Serena 2011 engine ya C26 ina kama week tatu. Nilivyoifuata bandarini tulifanya service na wakaweka oil ya Takumi kama inavyonekana kwenye picha
Juzi nilikiwa safarini kutoka Arusha kwenda Iringa, asubuhi nikacheck oil na ilikuwa poa kabisa na nikaanza safari mpaka iringa, nilikiwa naenda 130-150kph na nilifika salama Iringa kabisa. Asubuhi yake nikacheck engine oil kabla ya kuanza safari nyingine nikakuta engine kavu kabisa hamna oil! Nikamfuata fundi kuja kucheck naye akasema hamna oil. Basi tukafuata oil ya total quartz 9000 (synthetic) na kuongeza ili tuweze kuipeleka gari garage ili tuweze kuiangalia kwa undani. Cha kushangaza hakukuwa na leakage yoyote! Baada ya kuhakikisha hakuna leakage nikaendelea na safari ya kama km 400 na nilifika salama na oil ipo level ile ile tuliongeza! bado najiuliza ile oil ya mwanzo ilipotelea wapi? View attachment 1252356
Hata mm nilisikia hivyo nikaogopa kuzichukua maana ningepoteza wateja wengi tu but all in all tupende vitu ambavyo vinaaminika sasa hivi makampuni ya total castrol oryx liguil molly gp, lake oil na lubex ndio yanasupply oil kwa wingi hapa chini tujaribu kutumia miongoni mwa makampuni hayoIla hizi oil za kichina hizi...
Kuna watu nilisikia wakilalamika kuna oil feki zinaungua na kiisha au zina evaporate....
Sijajua kama kuna ukweli juu ya hili....
kama hayo maelezo ni kweli itakuwa ndiyo kilichokukuta...