Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
- Thread starter
- #421
Jaribu 10W30 badala yake.Nimezunguka DSM.
Nimewaambia nahitaji 5W30 wamesema hawana.
Na nimeongeza search kwenye petrol station za Total kutafuta mbadala ila nako nimekosa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vile vile nimeona tangazo hilo huko mitaani linaloonyesha kuwa zinapatikana