Tatizo lilianza pole pole ambapo pia lilipelekea pia kupasuka flau wheel tukabadirisha.Mechanically hatukujua chanzo cha flau wheel kupasuka kwa kiasi kikubwa.Cha msingi tatizo hili halijatokea ghafla.hebu nimbie kwanza tatizo lilianzaje; lilianza ghafla tu au lilianza pole pole.
Nina wasiwasi kuwa transmission yake imekufa, kwa hiyo zile clutch plate zake zinateleza, ndiyo maana unakanyaga accelerator inajini inaunguruma spidi ya juu lakini magurudumu hayapati nguvu. Nenda kwa mafundi wa transmission wakuewekee torque converter na clutch plates mpya kama utawapata. Kuna viplates vingi sana ndani yatransmission ambavyo voyte vinatakiwa vibadilishwe kwa sababu vimeshasagika.Tatizo lilianza pole pole ambapo pia lilipelekea pia kupasuka flau wheel tukabadirisha.Mechanically hatukujua chanzo cha flau wheel kupasuka kwa kiasi kikubwa.Cha msingi tatizo hili halijatokea ghafla.
Ahsante mkuu nitaanzia hapo.Nina wasiwasi kuwa transmission yake imekufa, kwa hiyo zile clutch plate zake zinateleza, ndiyo maana unakanyaga accelerator lakini magurudumu hapati nguvu. Nenda kwa mafundi wa transmission wakuewekee torque na clutch plates mpya kama utawaapta. Kuna viplates vingi sana ndni yatransmission ambavyo voyte vinatakiwa vibadilishwe kwa sababu vimeshasagika...
Asante mkuuTukichukulia kuwa kila kitu kimefungwa vizuri, na wala hakuna bomba la hewa amabalo halikufungwa sawasawa, yaani hakuna leakage ya hewa, inawezekana kuwa injini uliyonunua imeshakula sana piston rings. Hebu waambie wafanye compression test; inatakiwa compression iwe kama 40-45 PSI yaani kati ya 28kPa mpaka 31kPa hivi. Kama compress ni chini ya hapo, basi piston rings zimekwisha utatakiwa kuweka nyingine.
Tatizo jingine ambao sielewe linaweza kuwa limejitokezaje ni pale fuel pump haipeleki mafuta ya kutosha; yaani ule mrija wa mafuta haukufungwa vizuri kwa hiyo kuna mafuta yanavuja, ila hilo unaweza kusikia harufu ya mafuta na kuna matoen ya mafuta yanadondoka chini, inawa mengi yanaveporate kabla ya kufika chini.
Mkuu manufacturers wa magari mengi siku hizi chaguo lao la kwanza la engine oil ni 5w30 au 10w30 bila kujali mazangira.What does 5W-30 actually mean? - Rymax Lubricants
Nipatie reference kutoka kwa manufacturers wa oil wanaosema 5W30 haina tatizo kwenye mazingira ya joto?
Kuna watu wanajidanganya kuwa kuna nchi za joto na nchi za baridi; hawajui kuwa nchi ambazo zina baridi sana wakati wa Winter huwa pia zina joto sana wakati wa summer kuliko hata la Dar. Halafu hata nchi iwe na joto kiasi gani, haiwezi kufikia joto la injini.Mkuu manufacturers wa magari mengi siku hizi chaguo lao la kwanza la engine oil ni 5w30 au 10w30 bila kujali mazangira.
Hii elimu kuwa 5w30 ni ya nchi ya baridi sijui wabongo tuliitoa wapi...
Huku Tanzania hatutumii CHRYSLER, GM and FORDASE Certified Service Consultant wa magari madogo yanayotumia petroli hasa ya Ford, GM, na Chrysler.
Ni kweli mkuu...kwa sababu nakumbuka pale Iowa wakati wa summer joto lake hilo la Dar ni mtoto. Nadhani mleta hoja bado hajaelewa vizuri maana ya ile namba kabla ya W na ile namba baada ya W.Kuna watu wanajidanganya kuwa kuna nchi za joto na nchi za baridi; hawajui kuwa nchi ambazo zina baridi sana wakati wa Winter huwa pia zina joto sana wakati wa summer kuliko hata la Dar. Halafu hata nchi iwe na joto kiasi gani, haiwezi kufikia joto la injini.
Mkuu manufacturers wa magari mengi siku hizi chaguo lao la kwanza la engine oil ni 5w30 au 10w30 bila kujali mazangira.
Hii elimu kuwa 5w30 ni ya nchi ya baridi sijui wabongo tuliitoa wapi...
Kuchoka kwa gari kunategemea sababu nyingi sana..Mkuu nimekuelewa vyema sasa tujiulize gari inatoka Japan ina Km 80,000 kwetu huku tunaiita mpya, hii hii gari kwetu ikija tembea 30,000 km utaishangaa. AC hazifanyi kazi, mlio wa engine ni tofauti inachoka sana (sisemei kwa zote) tatizo hapa linakua nini mkuu?
Kuna mji China unaitwa Harbin baridi inakua mpaka -6 huku ndio nilijua matumizi ya right oil to your car.
Mh! Mkuu hapa umechanganya mambo..Number zilizoko kwenye oil zinawakilisha mambo matatu
-Viscosity ambayo ni namba ya kwanza
- W ambayo inamaanisha Winter
- namba ya mbele ya W ambayo inamaanisha kiwango cha juu cha joto ambayo oil hiyo huweza kufanya kazi...
Mkuu naweza kupata FCC ID ya key fob kwa Toyota harrier toleo la 2005/9?Kuchoka kwa gari kunategemea sababu nyingi sana..
Sababu ya kwanza mazingira...Gari limetoka Japan almost kila sehemu ni lami kwa hiyo gari linakuwa linatembea bila shuruba na mikikimikiki hivyo engine haitumii nguvu kulinganisha na huku kwetu...i
Du! Hii kitu inanipa shida sana. Nimeangalia kwenye fob niliyonayo sijaweza kupata. Nilikua na mpango wa kuagiza funguo mahali akaitaji hii kitu.FCC ID hazitegemei aina ya gari; kila fob ina ID yake.
Kuna fobs ambazo ni programmable na kuna ambazo siyo programmable. Kama yako siyo programmable, una kazi kubwa sana ya kutafuta fob nyingine inayofanana kabisa, ila kwa sababu za kiuslama, unaweza kukuta fob inayofanana na yako iko continent nyingine kabisa. Programmable ni rahisi sana, wewe nunua yoyote ile umplekee mwenye computer ya kuprogram hizo fobs, holla!Du! Hii kitu inanipa shida sana. Nimeangalia kwenye fob niliyonayo sijaweza kupata. Nilikua na mpango wa kuagiza funguo mahali akaitaji hii kitu.
Sijui kwa sababu inategema ukubwa wa ingini yenyewe, sehemu zake za kufungia na uzito wake; hayo ni mambo ya mtaani siyo ya kiufundi. Tafuta kijana wa mtaani anayejua kufanya modifications akusaidieChief samahani, naweza funga engine ya Mercedes Benz 102 kwenye cresta gx 100?
Sent from my itel it1508 using JamiiForums mobile app
Samahani, unakosea kusema mambo ya mtaani maana modifications ni professional pia watu wanaingia darasani na wanahitimu piaSijui kwa sababu inategema ukubwa wa ingini yenyewe, sehemu zake za kufungia na uzito wake; hayo ni mambo ya mtaani siyo ya kiufundi. Tafuta kijana wa mtaani anayejua kufanya modifications akusaidie
Kama wapo watu wanahitimu utaalamu wa kuhamisha injini kutoka gari model moja na kuiweka kwenye gari modeli nyingine basi sawa, onana nao. Mimi leseni yangu hainiruhusu kufaya mambo hayo kwa sababu kadhaa za kiusalama na kibiashara kwa makampuni ya kutengeneza magari.Samahani, unakosea kusema mambo ya mtaani maana modifications ni professional pia watu wanaingia darasani na wanahitimu pia
Sent from my itel it1508 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna uwezekano wa kufunga injini ya Passo kwenye Hilux ili isinywe mafuta?