kingjohn255
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 400
- 513
Kwa sababu oil huwa zinaexpire baada ya miaka mitano kwann ushindwe kuagiza oil carton moja utumiwe huko uliko ili kila ukienda services unachukua dumu lako unaweka siku zikiisha unaagiza tena na sidhan kama garama ya mzigo kutuma kwenda huko mikoani itagharimu zaidi ya 20000 na hapo utakua umeokoa vitu vingi sana kumbuka engine ndio moyo wa gari kuiwekea oil ambayo sio recommended kwake ni kuiua taratibu taratibuHicho kisanga huwa kinanitokea na mm hasa nkiwa kwenye gia ndogo inalia kakakakaka nkikanyaga acc ila ukiachia ukakanyaga tena inapotea gar imeandikiwa 5w30 but huwa naweka 5w40 bcz huku mkoani ndio easy kuipata na engine ni 1kr-fe 1.0l