Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
- Thread starter
- #261
Nilishawahi kujibu swali kama hilo hapaKichuguu nina ist ya wife ukiwasha AC baada ya muda mrefu na kwenye speed ndogo mfano foleni huwa gari inajizima, ukiiwasha inawaka kawaida tuu. Tatizo ili kama hujawasha AC huwa halitokei na hata kama ukiwasha ukiwa kwenye speed huwezi ona ili tatizo
Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli
Mkuu Kichuguu na mimi leo nina jambo geni kidogo nimeliona linanitokea kwenye gari.... Gari linaendesheka Vizuri kama kawaida ila nikiwasha AC gari linapungua nguvu sana....nikizima tu AC, hapo hapo unasikia gari linakuwa lepesi sana na linachanganya faster... Ni ishu mpya kabisa kuwahi...