No Escape2
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 228
- 323
Gari ndogo aina ya swift kukosa nguvu hasa mlimani na kuzima then steering kuwa ngumu na Eps inawaka no brake!
Nini Tatizo na solution yake please.
Nini Tatizo na solution yake please.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari kaka pole na majukumu ya kutuelimisha Mungu akubariki. Awali niliwahi kuuliza ni oil gan kwa gari yangu aina ya premio hizi modeli ya kati(new model) ambayo sasa ina km 84,000 ambapo ulinishaur nitumie 5w30 au 10w30!! Nilipoanza kutumia oil hiyo baada ya kutembea kama km 4000 kasoro niliona oil imepungua bila ya kuvuja popote ambapo oil niliotumia ni ya kampun ya total.
Kwa kuwa nilikuwa safari ilibid nibadili oil na eneo nililokuwepo nilipata ya lakeoil 15w40!! Sasa nataka kufanya service ambapo wapo walio nishaur kwamba engine ya gar yangu haifai kutumia 5w30 hivo nitumie hiyo ya lakeoil au Nitumie oil ya Toyota 15w40!!
Sasa naomba ushaur wako au maelekezo zaid! Cjui kama umenielewa!!
Mkuu gari yangu ina vibrate/ shake sana tatizo halijapatikana nimewapelekea mafundi wa3 tofauti ila hamna suluhu pia fundi nyundo alitoa thermostat wakati nafanya service ya mwisho mwezi haujaisha
Aina ya gari ni Suzuki Carry
Nadhani utaelewa ukiangalia maelekezo ya kitabu cha gari, kwa pocha naambatisha zikionesha hzo oil unazosema huku dar, zinafanya kazi kuanzia nyuzi joto -20 hadi +40View attachment 1505883Number zilizoko kwenye oil zinawakilisha mambo matatu
-Viscosity ambayo ni namba ya kwanza
- W ambayo inamaanisha Winter
- namba ya mbele ya W ambayo inamaanisha kiwango cha juu cha joto ambayo oil hiyo huweza kufanya kazi
5W30 hii ni kwaajili ya mazingira ya baridi kali ambapo oil hii hua nyepesi sana ili isiiruhusu kuganda
:5 inamaanisha Kiwango cha joto cha chini ya oil hii kufanya kazi ambapo kwa Bongo hatuna tempreture hizi hivo oil kama hii ni nyepesi sana hivo kufanya kazi kwenye mazingira ya joto kama Dar huwai kuisha kutokana na joto
:30 ni kiwango cha juu cha joto kwa oil hiyo kufanya kazi, joto la engine hufika mpaka 80° - 100° ikiwa inafanya kazi kwa nguvu mno hivo oil kama hii ya 5W30 sio vizuri kutumika kwenye engine ambayo inakua na joto kubwa kiasi hiko
15W40 pia ina kiwango cha nyuzi joto 40° kwa Dar haitakua rafiki sana labda maeneo ya Arusha, Iringa kwenye joto
Oil nzuri ya mazingira ya joto ni 15W60 au 15W80 hivo hua nzito kiasi kwamba engine ikiwa na joto kali sio rahisi kuchoma oil iyeyuke
NB oil zenye namba ndogo mfano 5W30 huuzwa kwa bei rahisi sana na wengi hupenda kueka hizo kutokana na bei
15W60 au 20W80 hua ne bei kubwa na kampuni inayouza hizi kwa asilimia kubwa ni Castrol
Nadhani utaelewa ukiangalia maelekezo ya kitabu cha gari, kwa pocha naambatisha zikionesha hzo oil unazosema huku dar, zinafanya kazi kuanzia nyuzi joto -20 hadi +40View attachment 1505883View attachment 1505884
Hapana...Number zilizoko kwenye oil zinawakilisha mambo matatu
-Viscosity ambayo ni namba ya kwanza
- W ambayo inamaanisha Winter
- namba ya mbele ya W ambayo inamaanisha kiwango cha juu cha joto ambayo oil hiyo huweza kufanya kazi
5W30 hii ni kwaajili ya mazingira ya baridi kali ambapo oil hii hua nyepesi sana ili isiiruhusu kuganda
:5 inamaanisha Kiwango cha joto cha chini ya oil hii kufanya kazi ambapo kwa Bongo hatuna tempreture hizi hivo oil kama hii ni nyepesi sana hivo kufanya kazi kwenye mazingira ya joto kama Dar huwai kuisha kutokana na joto
:30 ni kiwango cha juu cha joto kwa oil hiyo kufanya kazi, joto la engine hufika mpaka 80° - 100° ikiwa inafanya kazi kwa nguvu mno hivo oil kama hii ya 5W30 sio vizuri kutumika kwenye engine ambayo inakua na joto kubwa kiasi hiko
15W40 pia ina kiwango cha nyuzi joto 40° kwa Dar haitakua rafiki sana labda maeneo ya Arusha, Iringa kwenye joto
Oil nzuri ya mazingira ya joto ni 15W60 au 15W80 hivo hua nzito kiasi kwamba engine ikiwa na joto kali sio rahisi kuchoma oil iyeyuke
NB oil zenye namba ndogo mfano 5W30 huuzwa kwa bei rahisi sana na wengi hupenda kueka hizo kutokana na bei
15W60 au 20W80 hua ne bei kubwa na kampuni inayouza hizi kwa asilimia kubwa ni Castrol
Hapa umetupoteza kabisa....yaani umeingia chaka mkuu..Number zilizoko kwenye oil zinawakilisha mambo matatu

Hapa umetupoteza kabisa....yaani umeingia chaka mkuu..
Soma hapa..[emoji116][emoji116][emoji116]tulishajadili sana elimu ya oil kwa kina.
Engine oil gani ni nzuri kwa IST yangu?
Hapana mzee wangu; hiyo siyo maana ya namba hizo. Uksishasema kuwa 5 ni temprature ya chini kabisa, ina maana hujui kuwa kuna sehemu huwa zina temperature mpaka -20 degrees na magari yanafanya kazi. Namba zote mbili ni viscosities, moja ikiwa ni viscosity wakati injini inapostart kwenye winter, na namba ya pili ni viscocity ya kawaida wakati inji imeshapata joto.Number zilizoko kwenye oil zinawakilisha mambo matatu
-Viscosity ambayo ni namba ya kwanza
- W ambayo inamaanisha Winter
- namba ya mbele ya W ambayo inamaanisha kiwango cha juu cha joto ambayo oil hiyo huweza kufanya kazi
5W30 hii ni kwaajili ya mazingira ya baridi kali ambapo oil hii hua nyepesi sana ili isiiruhusu kuganda...
Kama injini ndiyo ina vibrate sana, kuna wasiwasi kuwa mojawapo ya valve lifters au tappets haifunguki; waambie mafundi wafungue cylinder head cover waangalie valves zake. Hii hutokea sana iwapo exhaust valve haifunguki kwa hiyo cylinder inapochoma mafuta inakosa sehemu ya kutolea moshi, na huo mhangaiko wa kutafuta pa kutolea moshi huo ndio unakueleta vibrations sana. Halafu rudisha thermostat yake.Mkuu gari yangu ina vibrate/ shake sana tatizo halijapatikana nimewapelekea mafundi wa3 tofauti ila hamna suluhu pia fundi nyundo alitoa thermostat wakati nafanya service ya mwisho mwezi haujaisha
Aina ya gari ni Suzuki Carry
Mkuu engine ya gari yangu Nissan winroad ilikua inagonga na kutoa sauti kama machine ya kusaga ya diesel. Nimenunua engine engine , sasa hii ingine mpya imefungwa leo lakini kwenye test haina nguvu kabisaa . ukikanyaga mafuta ndo kabisaa inapiteza nguvu. Pia inapoteza nguvu kwenye mlima na kuspeed up kwenye mteremko . tatizo litakua nini chiefKama injini ndiyo ina vibrate sana, kuna wasiwasi kuwa mojawapo ya valve lifters au tappets haifunguki; Waambie mafundi wafungue cylinder head cover waangalie valves zale. Halafu rudisha thermostat yake. Kama ni gari lote linavibrate, inawezekana wheel alignment ni mbovu au mojawapo ya shockabsobers imeishiwa nguvu kwa hiyo gari linakuwa linaelemea upande mmoja kuliko upande mwingine
hebu nimbie kwanza tatizo lilianzaje; lilianza ghafla tu au lilianza polepole.Mkuu Nina Suzuki escudo cc 1590.
-RPM 4500 speed 60.
-Gari haina nguvu.
-Mafuta Lita moja km 5,
-Gari haina silence na muungurumo in mkubwa.Naomba ushauri mahali pa kuanzia ninapoenda kwa fundi.
Asante kwa maelezoKama injini ndiyo ina vibrate sana, kuna wasiwasi kuwa mojawapo ya valve lifters au tappets haifunguki; waambie mafundi wafungue cylinder head cover waangalie valves zale. Hii hutokea sana iwapo exhaust valve haifunguki kwa hiyo cylinder inapochoma mafuta inakosa sehemu ya kutolea msohi, na huo mhangaiko wa kutafuta pa kutolea moshi huo ndio unakueleta vibrations sana. Halafu rudisha thermostat yake...
Mkuu engine ya gari yangu Nissan winroad ilikua inagonga na kutoa sauti kama machine ya kusaga ya diesel. Nimenunua engine engine , sasa hii ingine mpya imefungwa leo lakini kwenye test haina nguvu kabisaa . ukikanyaga mafuta ndo kabisaa inapiteza nguvu. Pia inapoteza nguvu kwenye mlima na kuspeed up kwenye mteremko . tatizo litakua nini chief