Niulize chochote kuhusu Kalynda E-commerce

Status
Not open for further replies.
Kuna e-commerce kama KibubuApp ya Tanzania, Alibaba ya China n.k, je wanakusanya fedha kwa watu kwa ajili ya faida kama nyie?
Kwa muundo wa kwenu wa kukusanya fedha na kutoa faida mnapaswa kuwa mmesajiliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Mitaji na Masoko (CMSA), Je mmesajiliwa na mamlaka hii?
 
Tayari vimeshaumana
 

Mnauza nini?
 
Sijui ni akili yangu au vipi mimi nikishaona issue yoyote ina ku invite watu najua kabisa kuna liquidity inatengenezwa watu wapigwe ela, sijui hio kalynda ilikua inafanyaje kazi ila mfano mzuri rejea Idea debater.

 
State financed scam's....
Kila wakati zinakuja kivingine na Zina operate na hakuna serikali kusema lolote,zikishakusanya mpunga wa kutosha serikali hujifanya kuzifungia na zikifungwa pesa huchululiwa na serikali ndio imetoka hiyo
 
Biashara ya kitapeli ni kama hii ambayo kwenye appstore hakuna key info kuhusu huu mradi. Unakuta tu link ya kudanlodi na si zaidi ya hapo.

Wafanyieni hisani Watanzania. Wanaumizwa na mfumo wa hovyo kiuchumi, warejesheeni hata nusu ya mlichowakapulia
 
Watu wana certificate of incorporation, leseni, tax clearance, tin, vat registration certificate, osha, leseni ya B.O.T na bado wanakimbia na kutekeleza ofisi. Wabongo wezi sana
Na wako registered DSE vile vile hao wanaitwa JATU
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…