Niulize chochote kuhusu Kalynda E-commerce

Niulize chochote kuhusu Kalynda E-commerce

Status
Not open for further replies.
Sijui kwanini kuna watu wapo kwa ajili ya kupinga kila kitu.... Afu tabia ya kujifanya kujua bila kufanya research... sio kila biashara ya mtandao ni utapeli dunia imebadilika ... Technology imekua, nyakati zimebadilika!!
Dunia imebadilika.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Endelea kuongea ivo ivo uku wenzako wanatengeneza ela,, Kalynda ndo habari ya mjini sa izi, imeajiri vijana wengi zaidi ya maelfu,, angalia kipindi cha KUMEKUCHA cha ITV huwa kinarushwa Juma3 sa 2 asubuhi mpaka sa 3 utaona matangazo ya Kalynda...Kama utaona unaongopewa nicheki WhatsApp 0657940974 nikurushie ilo tangazo au nenda ofcn Posta karibu na makato makuu ya TRA Mapato house upate taarifa kamili...
 
Mataleli siku hizi cha kwanza wanakimbilia kusajir kampun ili wawadanganye vzr kisha wawapige
Jaman watamzania wenzangu hela haipatikani kirahisi na hakuna mtanzania anaweza kukuitia fursa weka hilo akilini
Ukiona unaitiwa fursa ujue we nso fursa yenyewe shtuka
Tafuta kazi halali ifanye upate pesa
Haya yako wap? Mshapigwa [emoji23][emoji23]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom