Kwa nnavyofaham mimi; Kalynda ni Platform ambayo inajihusisha na kitengo cha masoko ya makampuni yanayofanya biashara mtandaoni... Mfano mimi nna kampuni yangu na nauza vitu mtandaoni... lakini kabla mteja hajanunua kitu kwangu atahitaji kujua uzoefu wangu katika mauzo... hapo ataangulia ranking ya mauzo sokoni ukinilinganisha na platform nyengine... na hapa ndipo Kalynda walipotengeneza platform ambayo inashirikiana na kampuni mbalimbali kuongeza selling ratings katika masoko yako... ili kujijengea uaminifu kwa wateja na kutanua soko la kampuni husika!