Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Tangazo minimum ni dola moja kwa siku.Gharama ikoje kama nataka tangazo li target Dar nzima?
Kuna ads za kutaka watu watembelee profile yako. Nadhani zipo na za kucall watu wakufollow. Hizo ndiyo huleta followers wengi. Mapastor wengi wanajitangaza sana kwa style hii😃Nikitaka kupata followers Instagram kupitia ads inabidi nifanyaje yani mfano kwa siku niwe napata hata followers 50 au 100
Gharama zipoje kwa hii?Kuna ads za kutaka what watembelee profile yako. Nadhani zipo na za kucall watu wakufollow. Hizo ndiyo huleta followers wengi. Mapastor wengi wanajitangaza sana kwa style hii😃
Kuanzia dola moja kwa siku.Gharama zipoje kwa hii?
Unalipa kwa visa au mastercard kupitia benki yako. Au hizi virtual cards za kama voda, tigo nk. Ila huwa mara nyingine zinazingua. Ni bora uwe na kadi ya benki.Hiyo USD nalipia kwa mfumo gani? Na utaratibu ukoje kwa ujumla?
profile visit halafu uwe vzr katika contentNikitaka kupata followers Instagram kupitia ads inabidi nifanyaje yani mfano kwa siku niwe napata hata followers 50 au 100
shida naona kama inazinguaga hivi kwenye location unaweza weka dar pekee lakin likaonekana hadi mbeyaGharama ikoje kama nataka tangazo li target Dar nzima?
Bandiko nzuri mimi nataka nitume matangazo yangu kwa online je ni sehemu gani rahisi kupata wateja Facebook au Instagram?Mimi siyo expert wa kutangaza online kwenye Facebook na Insta lakini nina uzoefu kidogo wa kama miaka miwili hivi kutangaza huko.
So niulize swali lolote kuhusiana na sekta hiyo nami nitakujibu.
Nikishindwa watakuja wataalamu zaidi na mimi nitazidi kujifunza.
Karibuni.
Ata Mimi nimeshangaa nilitegemea kupata elimu kubwa zaidi navyofahamuMbona uko shallow ivo. Bora hata usingeanzisha mada.
Ile ishu ya anuani ya makazi ilitakiwa kusolve kitu kama hiki. Wao sijui walisolve nini!!?. Ila asilimia zaidi ya 90 ya watu utapata ni kutoka Dar. Kama unatangaza ni vyema biashara yako ikawa ya Tz nzima au ya Dar. Mikoani ni wachache sana wako mitandaoni.shida naona kama inazinguaga hivi kwenye location unaweza weka dar pekee lakin likaonekana hadi mbeya
Uwe unajilipua hivyo tarehe za mwisho wa mwezi. Ndiyo tarehe zinakuwa na biashara sana. Tarehe 21 hadi kuelekea tarehe 5Monday najilipua $15 kwa siku tatu target ni whatsapp massage
wajuzi wakucheza na algorithm mjee
Kote hakutofautiani sana. Sema facebook unaweza kuweka picha nyingi, kuandika maneno mengi na pia watu hucomment kuliko insta. Ni kama attention span ya watu wa insta ipo chini sana.Bandiko nzuri mimi nataka nitume matangazo yangu kwa online je ni sehemu gani rahisi kupata wateja Facebook au Instagram?
Process za kutuma tangazo zipoje?