Niulize chochote kuhusu matangazo ya kulipia Facebook na Instagram

Niulize chochote kuhusu matangazo ya kulipia Facebook na Instagram

So mkuu unauwezo ukatangaza website ya betting Facebook??
 
Nikilipia tangazo linawafikia watu wangapi?
Au hakuna namna ya kujua hili?
Kama hapo unaona unatumia dola tano kwa siku instagram kwa siku kumi. Idadi utakayofikia ni hiyo.
Screenshot_20240308-185720.png
 
Malipo yanakuwaje. ?ukiwa Dar unalipia wapi?
Ili kutangaza inatakiwa ufungue facebook account kisha facebook page. Humo watakuambia weka njia ya malipo. Ndiyo unaweka detail za kadi yako. Wao watakuwa wanakata automatically kwenye kadi yako au wewe mwenyewe ukiamua kulipa manually.

Ili kutangaza insta badili account ya insta kuwa professional halafu i link na facebook page yako. Njia ya malipo ya facebook ndiyo utatumia huko instagram.
 
Back
Top Bottom