Ili kutangaza inatakiwa ufungue facebook account kisha facebook page. Humo watakuambia weka njia ya malipo. Ndiyo unaweka detail za kadi yako. Wao watakuwa wanakata automatically kwenye kadi yako au wewe mwenyewe ukiamua kulipa manually.
Ili kutangaza insta badili account ya insta kuwa professional halafu i link na facebook page yako. Njia ya malipo ya facebook ndiyo utatumia huko instagram.