Niulize chochote kuhusu Meridianbet

Niulize chochote kuhusu Meridianbet

MNA Huduma mbovu sana..simu zenu muda wote hazipokelewi..mkitumiwa msg online hamjibu..mnaboa sana wazeee..kuna siku mlikua mnasumbua nimeeka mkeka Wa buku 10 mkeka haukuw paid na fedha yangu ikachukuliwa..tokea siku hiyo nikaachana na nyie nikaona matapeli
 
Niulize chochote kuhusu offer za meridianbet nitakusaidia au option yeyote inayokusumbua
Nimeliwa sana hela zangu kwenye KENO! na nilikuwa natuliza akili sana kila ninapocheza, hebu naimbie kuna siri gani pale imejificha kwa wachezeshaji, maana haiwezekani kati ya namba 20 zote isitokee hata moja uliyoitabiri.
 
Kuna handicap 1, 1.5, 2, 2.5, 3, 3.5 na 4..

Handicap ya 1,2,3 na 4 zinafahamika..
Kuna tofauti gani kati 1.5 na 2, 2.5 na 3 halafu 3.5 na 4.
 
Halaf wakat mwingine mnazingua, sijui server yenu inakuwa imezidiwa.. unakuta network kwenye simu iko mambo mengine unafanya vizuryena yenye uhitaji wa network yenye speed hasa, lakin nyinyi inakuwa inakata na kurud, mwishowe unashindwa kubet.. nshakosa mipesa ya maana mara mbili kwa sababu hyo..
 
mi meridian iko poa upande wangu..yani mfano umeweka 3+..mechi ikitoa ata first half unapata hela yako hapohapo
 
hii kampuni ya hovyo sana toka kuj nimetuma ela zangu naambiwa zipo hewan wao network ipo down mbona mitandao mingine hamna tatizo la net kubwa kama nyie meridian? wikend utamaliza chaj kuingiza timu moja tu shughuli
 
hii kampuni ya hovyo sana toka kuj nimetuma ela zangu naambiwa zipo hewan wao network ipo down mbona mitandao mingine hamna tatizo la net kubwa kama nyie meridian? wikend utamaliza chaj kuingiza timu moja tu shughuli
Tatizo hili lilikuwa linanipata sana nikituma kwa tigopesa lakini kwa mpesa sijawi kulipata.
 
Hatuna mifumo ya GPRS kama ya premier sisi tuna mifumo ya PC ambayo iko support na shops
Mkuu nashindwa kukamilisha account yangu ya Meridianbet coz PROMO CODE sijui namna ya kuzipata, msada wako tafadhali.
 
asante kwa maswali yako mr Dahafrazeril kila biashara ina changamoto zake moja ya chanagamoto yetu ni kwenye utambuzi wa umri wa mtu kama yuko above 18 ili tuweze kumpa huduma endapo tutamtilia shaka mtu kuhusu umri wake basi tutaomba vielelezo vya kadi ya mpiga kura au kitambulisho cha taifa au kutompa huduma.

kuhusu kiwango cha chini tunapanga kulingan na bussiness expenes with profit and rate of GDP of that country we are going to invest na ikifuatana na sheria za nchi husika.

Betting ni biashara ya buradani kama zilivyo biashara zingine za burudani japo unaweza kuwa addicted kama ukishindwa kujizuia mwenyewe ndo maana tunashauli ucheze kiasi cha ziada.
Wengi wanaliwa, hili liko mubashara, kutokana na addiction they are just keeping up.
 
Hii kampun n ya kiquma sana cjui Kama kuna watu Bado wanatumia
 
Back
Top Bottom