Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madume hayawezi kutoroka ili yasiuliwe?Inategemea localities na aina ya nyuki.
Wanasema Malkia anaishi miaka mitatu hadi minne, vibarua ni wiki chache tu, na madume mara nyingi yanauliwa na vibarua hasa panapokuwa na Asali na malkia keshapandwa. Na dume likipanda malkia hufa akimaliza kazi.
Nani anayewagawia na kuwapangia kazi nyuki wakiwa mzingani?Mimi ni mtaalamu katika sekta ya ufugaji nyuki, kama kuna kitu unahitaji kujua kuhusu Nyuki na Asali niulize nitajibu kadri ya uelewa wangu. Karibuni. "Without bees man will have only 4 years to live on earth" Albert Einstein!
Jibu safi.Hiyo issue hata mimi nilishawahi kuisikia, ninachoweza kusema ni kwamba, composition ya Asali ina uhusiano mkubwa na mimea ambapo wamechukua nectar, so kuwepo nicotine kwenye maeneo yanayolimwa tumbaku ni possibility. Ndio maana Asali inayotokana na miarobaini ina uchungu ndani yake, ya mkonge ina washa kiasi n.k.
Kitaalamu tunashauri Mizinga iwekwe angalau kilometa 7 kutoka mahali ambapo kilimo chenye matumizi ya pestcides kinafanyika, kwa sababu foraging rangi ya nyuki ni 6kms. Maana yake nyuki haendi zaidi ya 6km kutafuta chakula, so kuepuka contamination kwenye Asali ni vema tukafanya beekeeping mbali na mashamba.
Sawa mkuu!Hiyo issue hata mimi nilishawahi kuisikia, ninachoweza kusema ni kwamba, composition ya Asali ina uhusiano mkubwa na mimea ambapo wamechukua nectar, so kuwepo nicotine kwenye maeneo yanayolimwa tumbaku ni possibility. Ndio maana Asali inayotokana na miarobaini ina uchungu ndani yake, ya mkonge ina washa kiasi n.k.
Kitaalamu tunashauri Mizinga iwekwe angalau kilometa 7 kutoka mahali ambapo kilimo chenye matumizi ya pestcides kinafanyika, kwa sababu foraging rangi ya nyuki ni 6kms. Maana yake nyuki haendi zaidi ya 6km kutafuta chakula, so kuepuka contamination kwenye Asali ni vema tukafanya beekeeping mbali na mashamba.
Pole!Nyuki wote ni matunda ya serikali yetu ya awamu ya tano acha ubishi wako
Kwa kuangalia hutaweza, labda kama utainusa na kupata harufu ya moshi. Lkn kwenye vipimo unaweza kujua kwa kupima chemical inaitwa hydromethyl furfural (HMF) ambayo inaongezeka kwenye Asali kadri inavyopata joto, na hivyo kuharibu uboranamna gani ya uhakika kutofautisha asali mbichi na asali ya kuchemsha? naskia kuna hadi asali yenye sukari guru.
Hii ndio nasikia kwako leo. Inahitahiji utafiti hiiKuna uvumi ushawahi kuwepo kwamba asali ukiitumia mda mrefu inafanya mifupa iwe milaini, ni kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kupaliwa ni tatizo sio kwa asali tu, hata wali unaweza kukuua ukipaliwa nao.1. Kwanini ukipaliwa na asali unakufa?
2.inasemekana ukila matango na ukanywa asali unakufa...je Kuna ukweli wowote mkuu?
Wanaweza kuwa ni wale wale au wengine.Kwa mfano, nyuki wameweka makazi katika nyumba; ukiwafukuza (kwa njia yoyote ile) watatoka na kupotea kabisa. Lakini baada ya miezi kadhaa kupita, utashangaa wamerudi tena eneo hilo hilo.
1. Je, nyuki hao wanaorudi, wanakuwa ni wale wale waliotimuliwa hapo awali? Kama ni ndiyo hao hao, swali la pili..
2. Kipi kinawafanya warudi tena ktkt makazi ambayo walitimuluwa hapo awali?
Hii ni kweli, hakuna mahali nimepinga.Mleta mada refer post #50 kuna technology ya kuzalisha malkia wa nyuki inasemekana worker yeyote anaweza kua malkia akipewa chakula/asali anayokula malkia ( chakula ya malkia ni tofaut na cha nyuki wengine) hivyo bas akipewa atakua mkubwa zaid na kua na uwezo wa ki malkia
Ndio. Lakini mind you, sio kila mmea nyuki wanachukua Nectar. Kama Vanilla inatoa Nectar ambayo nyuki wanachukua unaweza kupata Asali yenye Harufu au ladha ya vanillaJibu safi.
Kumbe ndio maana nilipata kusikia asali ya Zanzibar Ina ladha ya karafuu na Ni ghali. Kwa hiyo inawezekana kufuga nyuki karibu na shamba la vanilla ili kupata asali yenye ladha ya vanilla??
Aliyechakata hiyo natural instinct ni nani?Ni natural instinct kwenye DNA yao
Haya maswali yote ameshayajibuKwenye mzinga wa nyuki kunakuwa na malkia wa ngp?
Na kwann nyuki dume akifanya mapenzi anakufa?
Lakini malkia anaishi?