Niulize chochote kuhusu Nyuki na Asali

Kwann nyuki watengeneza asali, ndoo chakula chao au?

Kwa mahitaji ya asali ya nyuki wa kubwa kutoka tabora
1lita 12000
Nusu lita 6000
Robo lita3000
Lita 5 55000
Napatikana bugurun sheli
Call 0746 696878

Lita 5 unaletewa mpk ulipo
 

Attachments

  • EB18ACE9-E73B-4831-B7C0-4FE50533DBA8.jpeg
    46.4 KB · Views: 8
  • 5422985F-A527-4CAF-A63B-391ADFEE2B3F.jpeg
    137.6 KB · Views: 7
  • 82D0262A-34FE-4D78-9B03-EE5BF80AC57E.jpeg
    131 KB · Views: 8
  • FC688243-2528-4A0E-B7A4-0A2DDEAB1A48.jpeg
    38.5 KB · Views: 8
Kwenye mzinga wa nyuki kunakuwa na malkia wa ngp?
Na kwann nyuki dume akifanya mapenzi anakufa?
Lakini malkia anaishi?
Hili tumeshajibu, lkn kwa faida yako, Malkia kwenye kundi ni mmoja tu, na dume hufa akimaliza mating ni kwa sababu ya exhaustion!
 
Naomba kujua huduma ya kwanza ya mtu aliyeng'atwa na nyuki
Kwanza kama amedungwa na nyuki mmoja, toa kale ka sindano, kisha kupunguza maumivu unaweza kutumia barafu, na kupunguza kuvimba unaweza kutumia anti-inflamatories
 
Kwann nyuki watengeneza asali, ndoo chakula chao au?

Kwa mahitaji ya asali ya nyuki wa kubwa kutoka tabora
1lita 12000
Nusu lita 6000
Robo lita3000
Lita 5 55000
Napatikana bugurun sheli
Call 0746 696878

Lita 5 unaletewa mpk ulipo
Kitaalamu Asali ya Nyuki wakubwa hatupimi in terms of volume, tunapima in terms of weight. So you better start using kilograms and grams instead of litres. The main reason is the Viscosity of honey imeshapita kupimwa kwa volume.
Mliosoma Physics mnajua viscosity ni nini, ni ule uzito (thickness) ya liquid.
 
Kwanza kama amedungwa na nyuki mmoja, toa kale ka sindano, kisha kupunguza maumivu unaweza kutumia barafu, na kupunguza kuvimba unaweza kutumia anti-inflamatories
Doh! Bas bint yangu alidungwa na nyuki huduma ya kwanza kuna mtu akasema nimpake kitunguu..hicho kisindano hata sijui kilipoelekea leo ni siku ya tatu yuko sawa palivimba kidogo tu
 
Je kuna maelekezo/mtindo maalum wa jinsi ya kuunda Mzinga wa Nyuki Wadogo (stingless bees)?.

Ipi njia rahisi ya kuvuna asali ya Nyuki Wadogo, maana naona wanachanganya zile pollens na vibuyu wanavyohifadhia asali.
 
Hivi ni kampuni gani nzuri inayouza mizinga tayari ikiwa na nyuki , nina eneo la akali 3 nahitaji kufuga nyiki niunganishe na wauza mizinga
 
Ni kweli, maana ile mshale wake (sting apparatus) imeungana na utumbo, so mkuki ukiingia kwenye mwili wako hauwezi kutoka bali yeye anafumuka nyuma utumbo unakatika. Atakufa tu. So please dont get stung by bees, utatumalizia nyuki wetu.
Juzi kati limening'ata pajani, kumbe alikufa bora
 
Hiyo asali kwao inawasaidia nini?
 
"Siku nzi akiacha ujinga atatengeneza asali".
Ni dhahiri kwamba kiumbe anayetengeneza asali duniani ni nyuki.

Je kuna namna unaweza kuwaondoa nzi ujinga wao kwa kuwakalisha pamoja na nyuki,
Ili tuepukane na ujinga wa hawa nzi pamoja na kupata kionjo cha asali ya nzi?
[emoji4][emoji4]
 
Mkuu nikuulize, Kijijini kwetu, nyumba ya bibi yangu dirishani kwake kuna nyuki kibao, toka anazaliwa kawakuta hadi leo, kwanini hawami, miaka yote hiyo?
 
Kwann nyuki watengeneza asali, ndoo chakula chao au?

Kwa mahitaji ya asali ya nyuki wa kubwa kutoka tabora
1lita 12000
Nusu lita 6000
Robo lita3000
Lita 5 55000
Napatikana bugurun sheli
Call 0746 696878

Lita 5 unaletewa mpk ulipo
Hujaweka sukari guru humu? Eeh?
 
Mkuu, upo pande gani? Natafuta asali ya kununua kwa matumizi ya kawaida/ya kula yenye ubora. Unaweza nisaidia location zinapopatikana...hawa wafanyabiashara hawaamiki, wanaweza sometimes kuchakachua...

Asante pia kwa Darasa.
 
Hivi sumu ya nyuki inatibu saratani ya matiti?
 
Ni kweli dume baada ya kumpanda malkia anakufa?
 
Kupaliwa ni tatizo sio kwa asali tu, hata wali unaweza kukuua ukipaliwa nao.
Hili la tango na Asali hata mimi nimekuwa nikilisikia since I was a little boy, lkn hakuna aliyethibitisha. No one wants to try it and prove![emoji23][emoji23]
Exactly...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…