claudematemu
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 279
- 437
- Thread starter
-
- #61
Sure mkuu uko vizurii kakaSure mkuu..hii kitu ni nguzo moja ya msingi sana sana sana sana....uandike program na usitumie hii kitu aisee ni ngum sana...unaweza uka ignore loops au hizo switch (depending in u what u want to do) ila if...else hii ni kama maji..usipokunywa utaoga au kupikia [emoji23]
Safi sana asante kwa kuongeze kaka upo vizuri sana.Very true brother..very true..ujue programming in inlvolve alot of thinking..Na kuna vitu au idea flan huwa unazifikiria na kuzi implememt while coding na zikafanya kazi but in the mind kuna hisia zinakwambia kabisa "U NEED TO COME BACK AND REVISE THIS BLOCK OF CODE LATER" either kui perfect au kuelewa ulichokifanya licha ya kwamba kwa wakatinhuo kinafanya kazi. basi hapa muhim sana ku COMMENT something ili ujue wap pa kurudi na nini cha kufanya...
Kwa kifupi comments ni kama diary kwenye Code file.
Lakin pia kuweka instructions ili incase ni mtu mwingine na sio wewe atapaswa ku upgrade system basi aelewe maeneo ambayo unafikir yatampa changamoto...
Ni muhim sana hasa kwenye ku update system
Safii kaka itapendezaNatafuta muda nije nitengeneze Programming tutorials za Kiswahili kwa ajili ya Watanzania wenzetu wanaotamani kujifunza programming. Kuna mwenzangu yeye alifanya za graphic designs kutumia photoshop.
Ila ni muhimu sana kufundisha mising ya programming kwa kutumia low level languages kama C au Pascal; PHP ni very high level, ni rahisi kufanya lakini haifundishi misingi.
Ahahah true kaka..nitafanya hivyo though there is a way to utilize PDOs huku.. 😁Framework ni nzuri saana maana hii inakurahisishia sana mambo , kujua framework ni nzuri sana maana hata kwenye ajira itaulizwa unafahamu frameworks gani, etc.
Faida za frameworks
1. Inarahisha sana code how? Code nyingi inakuta teari wao wameshaziandika yaani unaandika less code nyingi unakuta wao wameshaziandika.
2.ina security kubwa maana inatumia kitu kinachoitwa MVC model view controller
Framework nyingi zinatumi OOP ambayo ni nzuri sana na currently.
Mkuu achana na procedural kabisa bana hiyo ni ya zamani sana tumia PDO au OOP.
Yeah kaka kaa hapa hapa usiondoke even OOP tutaelezea hapa hapa.Ahahah true kaka..nitafanya hivyo though there is a way to utilize PDOs huku.. [emoji16]
Umesoma OOP?Wakuu nisaidieni kuelewa class method na static method jinsi ya kuzitumia, najifunza python.
Python, javascript, java etcMimi nataka kujifunza mambo ya AI, n.k nijifunze language gani?
Swali lingine hivi apa bongo kina chuo chenye evening classes za programming short course?
kwa kiasi chakeUmesoma OOP?
Static ipo chini ya class, but unaweza ku define method iliyopo ndani ya classkwa kiasi chake
namna ya kuitumia kabsa yaani lengo lake. Sorry lakini php niligusagusa tu maana nimegusa language nyingi sasa hivi nimeamua kuchagua python hadi niielewe kabsa. Lakini nimekuelewa mkuu tupo pamojaStatic ipo chini ya class, but unaweza ku define method iliyopo ndani ya class
Mfano
$adduser= new userController(); hii ni class ya user
adduser-> addUsder(); hii ni object
Hebu tuone method
Static public function adduser(){
// unaandika code hapa
$method = Usermodal::adduserModal();
}
hapa ndo static inavofanya kazi.