Framework ni nzuri saana maana hii inakurahisishia sana mambo , kujua framework ni nzuri sana maana hata kwenye ajira itaulizwa unafahamu frameworks gani, etc.
Faida za frameworks
1. Inarahisha sana code how? Code nyingi inakuta teari wao wameshaziandika yaani unaandika less code nyingi unakuta wao wameshaziandika.
2.ina security kubwa maana inatumia kitu kinachoitwa MVC model view controller
Framework nyingi zinatumi OOP ambayo ni nzuri sana na currently.
Mkuu achana na procedural kabisa bana hiyo ni ya zamani sana tumia PDO au OOP.