Niulize chochote kuhusu programming language

Niulize chochote kuhusu programming language

Sure mkuu..hii kitu ni nguzo moja ya msingi sana sana sana sana....uandike program na usitumie hii kitu aisee ni ngum sana...unaweza uka ignore loops au hizo switch (depending in u what u want to do) ila if...else hii ni kama maji..usipokunywa utaoga au kupikia [emoji23]
Sure mkuu uko vizurii kaka
 
Very true brother..very true..ujue programming in inlvolve alot of thinking..Na kuna vitu au idea flan huwa unazifikiria na kuzi implememt while coding na zikafanya kazi but in the mind kuna hisia zinakwambia kabisa "U NEED TO COME BACK AND REVISE THIS BLOCK OF CODE LATER" either kui perfect au kuelewa ulichokifanya licha ya kwamba kwa wakatinhuo kinafanya kazi. basi hapa muhim sana ku COMMENT something ili ujue wap pa kurudi na nini cha kufanya...


Kwa kifupi comments ni kama diary kwenye Code file.

Lakin pia kuweka instructions ili incase ni mtu mwingine na sio wewe atapaswa ku upgrade system basi aelewe maeneo ambayo unafikir yatampa changamoto...

Ni muhim sana hasa kwenye ku update system
Safi sana asante kwa kuongeze kaka upo vizuri sana.
 
Natafuta muda nije nitengeneze Programming tutorials za Kiswahili kwa ajili ya Watanzania wenzetu wanaotamani kujifunza programming. Kuna mwenzangu yeye alifanya za graphic designs kutumia photoshop.

Ila ni muhimu sana kufundisha mising ya programming kwa kutumia low level languages kama C au Pascal; PHP ni very high level, ni rahisi kufanya lakini haifundishi misingi.
 
Haya sasa tuendele na for loop

For loop hii ni rahisi na hii wewe ndo unaweza ukataka ianze kuhesabu kuanzia 1 -100 ikifika mia ikaushe, mara nyingi hii unajua idadi ya namba unazozitaka
Yaani kwa kifupi for loop teari unakuta unafahamu idadi ya namba ambazo wewe unataka ziwe loop.


While hii bana idadi yake haina mwisho maana yake ni infinity numbers yaani hiyo ina count tuu basi.. mpka trillion huko .

Mara nyingi while loop tunaitumia kwenye fetch data ndani database kule huwa tuna fanya looping kwa kutumia while loop.

Yaani elewa hivi for loop ina loop idadi ya namba ambazo teari wewe unazifahamu au kitu tayari ambacho unakijua

Na while ni infinity yaani hyo inahesabu kitu ambacho wewe ukifahmu exactly kama database, etc maana huwezi kujua ni users wangapi watakua kwenye database yako. Etc


Tumalizie na foreach
Hii bana nayo ni loop lakini hii tofauti yake ni kidogo na hzo nyingine kwanza hii ina pakua kila kitu kilichoko kwenye database na pia hii inafanya kazi kwa mfumo wa arrays..
Foreach($value as =>$key){

Hapa unaandika code zako
}
Foreach inakuwa kwenye mfumo wa Array.
 
  • Thanks
Reactions: Ok9
Natafuta muda nije nitengeneze Programming tutorials za Kiswahili kwa ajili ya Watanzania wenzetu wanaotamani kujifunza programming. Kuna mwenzangu yeye alifanya za graphic designs kutumia photoshop.

Ila ni muhimu sana kufundisha mising ya programming kwa kutumia low level languages kama C au Pascal; PHP ni very high level, ni rahisi kufanya lakini haifundishi misingi.
Safii kaka itapendeza
 
Switch hii nayo ni moja ya nguzo muhimu sana unapotaka kujifunza programming

Switch nayo ni loop ila hii ina tofauti kidogo switch na else statement pia hazitofutiani sana

Ila fahamu kwamba switch ni loop ambayo inakua na condition ya true or false .

Switch nayo pia nayo unakuta teari jibu unalo

Hebu tuangalie mfano hapa wa switch

if ($i == 0) {
echo "i equals 0";
} elseif ($i == 1) {
echo "i equals 1";
} elseif ($i == 2) {
echo "i equals 2";
}

switch ($i) {
case 0:
echo "i equals 0";
break;
case 1:
echo "i equals 1";
break;
case 2:
echo "i equals 2";
break;
}
?>
Hapo kaandika $==0

Switch inachokifanya ni kuafanya looping mpaka ikutane na lile jibu sahihi ndo lina display hayo mengine inapiga chini chini

Kwenye mfano wetu hapo moja kwa moja inatenda ku display jibu row ya kwanza maana ndo jibu teari .


Yaani kwa kifupi ni kwamba switch ina excute jibu sahihi tuu basi.

Ambalo sio sahihi inaruka.
 
Leo toungele kitu muhimu saana kwenye programming logical operator na comparisons op ni moja ya nguzo muhimu pale unapotaka kujifunza programming yaani kwa kifupi huwezi ruka hapa.

Logical operator ni kama symbol ya kuelezea jambo flani na hii inafanya kazi na if else statement, switch, etc
Hapa pia nitazungumzia comparison operator


Hebu taungali hizo logical operator zikoje na ni nini maana yake.

Logical operator
1.&& hii maana yake and au na
2.I I OR maana yake au
3.! hapana yaani ukiona hii alama maana yake ni hapana
Comparisons operator
4== sawa sawa na mfani 1==1
5.< ndogo ya
6.> kubwa kuliko
7.=== hii ni sawa sawa au sio sawa sawa.
8.!== sio kweli

Tutaendelea next session
 
Pia inakatisha tamaa mtu unatumia mda wako unaandika hapa alafu anakuja mtu ana kukebehi, kama wewe unaona ni kazi rahisi ungekuja uandike hapa au kama unajua sana why usinde na wewe google uje utufundishe hapa? Mnazingua.
 
Framework ni nzuri saana maana hii inakurahisishia sana mambo , kujua framework ni nzuri sana maana hata kwenye ajira itaulizwa unafahamu frameworks gani, etc.
Faida za frameworks
1. Inarahisha sana code how? Code nyingi inakuta teari wao wameshaziandika yaani unaandika less code nyingi unakuta wao wameshaziandika.
2.ina security kubwa maana inatumia kitu kinachoitwa MVC model view controller
Framework nyingi zinatumi OOP ambayo ni nzuri sana na currently.

Mkuu achana na procedural kabisa bana hiyo ni ya zamani sana tumia PDO au OOP.
Ahahah true kaka..nitafanya hivyo though there is a way to utilize PDOs huku.. 😁
 
Tumalizie ungwe ya kwanza kabisa ya programming alafu tukitoka hapo ndo tunaenda kwenye real coding

1.Math Operator
Kwenye programming kuna kitu kinachoitwa math operator yaani kwenye programming kuna calculation uko za hatari saana ha ha usiogope

Kwenye programming kuna hesabu kama hesabu ndo mana unaposoma chuo kuna hesabu kule math yaani kwa kifupi wanangu math ni muhimu sana hasa pale unapotaka kutengeneza site kama e-commerce, Pos, etc hapa math muhimu.


Tuone math zinaandikwaje
1.+ maana yake ni jumlisha
2.- maana yake ni toa
3./ maana yake ni gawanya
4.* maana yakw zidisha

Hebu tuangalie zinatumikaje

echo 5 + 4 * 10 . "
"; // 0utputs: 45
echo (5 + 4) * 10 . "
"; // 0utputs: 90
echo 5 + 4 * 10 / 2 . "
"; // 0utputs: 25
echo 8 * 10 / 4 - 2 . "
"; // 0utputs: 18
echo 8 * 10 / (4 - 2) . "
"; // 0utputs: 40
echo 8 + 10 / 4 - 2 . "
"; // 0utputs: 8.5
echo (8 + 10) / (4 - 2) . "
"; // 0utputs: 9
?>
Hivi ndivo tunavyo andika math kwenye programming yaani haina tofauti na ya darasani.

Tumemaliza ungwe ya kwanza ya programming hizi ndo zinaitwaga concept... najua utakua umejifunza kitu.
 
kwa kiasi chake
Static ipo chini ya class, but unaweza ku define method iliyopo ndani ya class
Mfano

$adduser= new userController(); hii ni class ya user
adduser-> addUsder(); hii ni object

Hebu tuone method

Static public function adduser(){
// unaandika code hapa

$method = Usermodal::adduserModal();
}
hapa ndo static inavofanya kazi.
 
Static ipo chini ya class, but unaweza ku define method iliyopo ndani ya class
Mfano

$adduser= new userController(); hii ni class ya user
adduser-> addUsder(); hii ni object

Hebu tuone method

Static public function adduser(){
// unaandika code hapa

$method = Usermodal::adduserModal();
}
hapa ndo static inavofanya kazi.
namna ya kuitumia kabsa yaani lengo lake. Sorry lakini php niligusagusa tu maana nimegusa language nyingi sasa hivi nimeamua kuchagua python hadi niielewe kabsa. Lakini nimekuelewa mkuu tupo pamoja
 
Back
Top Bottom