Haya sasa leo tuendele na kipindi guys niko busy baut hvo hvo tutajjtahidi
2.ARRAY
Array ni moja ya nguzo muhimu sana pale unapotaka kujifunza programming hii ni lazima uifahamu kivyo vyote vile kama hutaifahamu hii itakua ngumu sana kwako wewe kuelewa hii languag haya sasa array ndo nini?
Array ni kama box flani ambayo ndani ya hilo box inaweza kuweka na kuchanganganya vitu mbali mabli , yaani array kwa kifupi inapunguza pia mlolongo wa code usiwe mwingi sana.
Na sifa kubwa ya array unaweza ukachanganya namba na string , string ni names au majina tunaona mfanno hapa chini
Je array inaandikwaje?
Mfano nina variable ya username sasa huyu username ana jina, gender, umri, salary
Hebu tuone array inaandikwaje
$username =['claude', 15, 'male', 1000];
Hapa unavyoona username ndani yake kuna name, kuna age, na kuna gender , pamoja na amount sasa
Before hatujaendelea
Integers ni namba kwenye programming
Na interger inandikwa kama ilivo mfano kama no 15; inabaki hvo hvo elewa hii.
String maana yake ni name kwenye programming na string lazima uwe single quote' ', au double " "
Mfani nikiandika claude bila kuwek qoute italeta errors kwa hyo napaswa niandike 'claude' ;
Kwa hyo elewa kwamba integers ni namba na string ni name
Ok kwa hiyo sasa Array huwa inaandikwa [ ]; yaani ukiona kwenye code zimeandikwa hivi ujue hiyo ni array.